Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,310
- 5,977
Inabidi usiandike tena kuhusiana na mambo ya kina Dori mkuu, usikute huwa anakutana nayo, halafu wazazi hata ufiche ID hadi miandiko wanaijua hata kama hawajawahi Iona hapo kabla😅😅😅😅Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa