Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 1,894
- 2,420
hahaha tena, we uliharibu kufuta app ungepeleleza anatumia jina gani.We jamaa usiwe mnafiki tu
hahaha tena, we uliharibu kufuta app ungepeleleza anatumia jina gani.We jamaa usiwe mnafiki tu
Nilikua naogopa mkuuhahaha tena, we uliharibu kufuta app ungepeleleza anatumia jina gani.
haya uchunguz uanze upya tu hamna namna.Nilikua naogopa mkuu
TusigombanePrida ujue ww ni mtu na heshima zake ila tunaenda gomban soon 🙌🙌🙌😂
😃Nakupigia soon broBro kuna nini hapa 😁
Ayaaa ngoja tuone 🙌🙌😂Tusigombane
Na hiki kimvua network inaweza kusingizia sipatikani, piga utume na msg bro......😃Nakupigia soon bro
Poa broNa hiki kimvua network inaweza kusingizia sipatikani, piga utume na msg bro......