Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,849
- Thread starter
- #301
New member...Itakuwa mama yako ni mimi
Acha mambo yako.. unajua kuna ishu za BAN humu
New member...Itakuwa mama yako ni mimi
We jamaa hovyo sanaNa lazima alishakutafutia baba zako wa kufikia upo nao humu unawajibu vibaya
Cheka sana 😂😂😂🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We jamaa jau sna 😂😂🙌
Mkuu nilishikwa na uwoga sijataka kujua aA to Z ni Bora niambiwe kama ni member basi yaishe ila sio kufatilia deep hvoMkuu mbona tiyar ulikua kwenye hiyo opportunity ukakimbilia kui uninstall?
Weeeh 😂😂😂🙌🙌🙌Atakuwa ndo MamaSamia2025
Mr skutaka kuangalia yaliyomo kama ningejua unazani mda huu ningekua na hali ganiKosa lako niku Uninstall Poor Brain
Kuwa na adabuUkute ndiye mshangazi wetu wa jf.
Na hawezi kuwa na app za porno mkuu..Mwache bi mdashi ajiachie wewe,ukute humu ndio anapata faraja ukikuta siku ana peruz app za porno si utajiua wewe!Halafu ukome kugusa simu ya mama yako hiki Kizazi sijui kikoje!!!
Mimi na wewe unae kula vikongwe nan jau 🤣🤣We jamaa jau sna 😂😂🙌
Ndo hiko kitu unapenda😂😂😂😂😂 jamaniii
Marfuku wanangu kuwa humuHata wew ipo siku watoto wako watashangaa dingii yuko Forum
Ushamba tuSasa cha ajabu ni kipi? Mbna ni kawaida tyuuh. Lol
Unaanza kukuza mambo..😁😁😁
Sasa ndo ufahamu aina ya bi.mkubwa uliyenaye. Usimchukulie poa.
Min me ww ndo unasema mimi mshamba 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Ushamba tu
Wewe mtoto mimi nimewahi chat nawe?!Acha uwongo...
Chart yako tuu naweza jua weww wa umri gani mkuu