Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,849
- Thread starter
- #221
Broo mi ni kijana..Tuliaa mama aenjoy maisha nyuma ya id yake mbona wew hakufatiliii.
Humu ndo hom kwetu ujue
Broo mi ni kijana..Tuliaa mama aenjoy maisha nyuma ya id yake mbona wew hakufatiliii.
Ebu tumuulize Vincenzo Jr anacheka kitu gani ?Ww jamaa
Bro kwanin una control Uhuru wa Mama etu, labda ni cocasticMkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..
Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Huyu vic ni mwana sana...Ebu tumuulize Vincenzo Jr anacheka kitu gani ?
Haha sawa mkuu heshima mbele, bi mdashi hapitii na hajajiunga tuache kufikiria negatively, YAKUZ YAVUZ.Hapitii na hazingatiii mkuu...
Bi mdashi ni mtu na heshima zake ujue sasa wewe endelea kusema bi mdashi ni mtu wa hovyo takublok mkuu..
Kwanza naona unataka tugombane hapa maana wewe unashawishi wenzako humu wasema bi mdashi kajiunga
Beki tatu wenu humu unamuita BossLady na anakutumia na vocha mnazigombania 🤣Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Nije pm 😎Si unajua wazee wanaowashwa na pesa.
Na nilijua tu bamdogo akiona profile yangu Fb lazima aje inbox.
Unaeza Kuta mama ni AdminHuyu vic ni mwana sana...
Ni tajiri wa kigamboni kule hana baya
Huyu wangu tuliza wenge dogoNije pm 😎
😁😁😁Bi mdashi kuwa na app mkuu..
Yaan kaona browse haitoshi au 😂😂😂
Kaogopa kabisa asije Kuta nimtu mweny jina maarufu umu ndaniPaka umefanikiwa kuona app ya jf umeshindwa nini kuangalia user name yake profile
Kuna mchungaji nilimpiga chabo kijasusi nikaona anausoma uzi wa Riki boy. Alikuwa ana injoyi ile mbaya 🤣🤣🤣Baadae utaikuta tena jf ni jukwaa pendwa sana yaani sana
😀😀😀Alikuwa nae anataka akale tunda kwa mwanakondoo wakeKuna mchungaji nilimpiga chabo kijasusi nikaona anausoma uzi wa Riki boy. Alikuwa ana injoyi ile mbaya 🤣🤣🤣