Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,849
- Thread starter
- #21
Mkuu nimejikuta naogopa aiseeeunaweza kuta naye yupo humu kama moderator tena ni yule anayepita na nyuzi za watu..
Mkuu nimejikuta naogopa aiseeeunaweza kuta naye yupo humu kama moderator tena ni yule anayepita na nyuzi za watu..
Niko nyuma yako hapo, geuka nyuma utaniona nimevaa nguo na nna mwili.Mbaga kuna siku takufata na MK 47 broo 😂😂😂
Acha ujinga wako we jamaaAu tlaahtlaah!
Kasome I'd yakeWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Ondoa hofu mkuu kuna mambo ya Biashara na kilimo,Afya,Ardhi,Mapishi,Magari,Ujasiriamali nk, mazuri tuu!Na bora iwe hvo mkuu au huwenda ajajiunga kabisa ila anafatilia tuu kwa juu juu
Mbaga jr takudaka kwenye mechi ya simba na yanga si unakuaga juu kule na camera yako ..Niko nyuma yako hapo, geuka nyuma utaniona nimevaa nguo na nna mwili.
Mkuu nimefuta hata sijataka kuchunguza zaidi aiseee nimeanza kuogopa sasaKasome I'd take
Mie.mwenzio nishawahi mtukana hawara yangu mmoja jukwaa la siasaa siku nilipojua nilichoka na akachoka
Utani tuu Mkuu,Na aheshimiwe mother!Acha ujinga wako we jamaa
Ana acc nyingi mkuu Poor Brain fatilia utajua tuuAu tlaahtlaah!
Hakuna shida ila kama kajiunga na ana login kabisa hapo kuna shidaShida iko wapi sasa kama anatumia kupata habari mbali mbali
Acha ujinga weweZ
CHUNGULIA INBOX
MPWAAAAA
GEN Z
WA JF SIO WATU WAZURII KABISA
USISHANGAE CONVERS ZAO KWA MKEO KAMA AWAJAMPITIA WAKO NJIANI
Mkuu yaani mama angu awe huyo jamaa tlaatlaahAna acc nyingi mkuu Poor Brain fatilia utajua tuu
Mkuu mbona noma hiiUtani tuu Mkuu,Na aheshimiwe mother!
Usinitishe wewePoor brain 🤫🤫