Nimepigwa na butwaa

Nimepigwa na butwaa

Mkuu sasa kwa hali ya humu jf kweli bi mdashi et awe ana log in...
Imagine tuu
Hii hapana sitaki iwe hvo mkuu
Hutaki iwe hivyo au hupendi iwe hivyo, embu fafanua kidogo!

Wenzake wa 70+yrs old tupo humu na ninyi tukihangaika, kwani shida iko wapi?

Na ukianza tu ubaguzi wa umri mwisho wa siku utakuja kujinyanyapaa wewe mwenyewe na habari yako itaishia hapo.
 
Wasalam wakuu.

Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..

I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.

Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....

Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee

Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
simu ya mama,mke? au mama mzazi?
 
Mkuu huyu ni bi mkubwa ujue..
Hilo jambo hata wewe lingekushangaza mi ndo nilinunua hi simu alafu... Hii ya leo imenistukiza sana
Nakubali kaka ni bimkubwa.. ila humu kumbuka kuna nyuzi nyingi mno za elimu, biashara, kilimo, mapishi, siasa n.k sasa ye huenda alisachi kitu Google afu kwenye kufungua ile link ikamleta direct humu akaamua aichukue app kabisa ..

ni maoni tu we endelea kupigwa na butwaa 😂
 
Huwenda mkuu ila daah hii imenifanya nishangae mpaka sasa...

Mi leo naskilizia jioni akilalamika kama nimefuta app zake hapo tajua kweli yupo humu..

Hapo ndo taanza kufatilia A to Z aiseee
 
Usikute ndo Mshangazi dot com
942ecc1954a364066aa677ee03cf66fb.jpg
 
Back
Top Bottom