Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,266
- 24,155
Eeee kwenye uzi fln nilileta jukwaani hapa nilikuwa najibu comment za wadau. Ila niliacha kwanza nikazima na dataDuh! Ulikuwa unakomenti, hadi ikaonekana au
Eeee kwenye uzi fln nilileta jukwaani hapa nilikuwa najibu comment za wadau. Ila niliacha kwanza nikazima na dataDuh! Ulikuwa unakomenti, hadi ikaonekana au
Hawezi kuwa huyo mkuu... We mkuu una wazimu au kichaaHuyo huyo
Mama zetu wanatufichia mengi, si ajabu anajua vizuri upuuzi wa mwanae humu jukwaaniIla si hajui kama unajiita Poor Brain
Poor Brain Hofu ni nini, kwanini ushike simu ya mtu uDelete app pila ruhusa yake, ukiulizwa kwanini utajibuje? Umeandika ni kama JF kuna biashara haramu.Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Namjua bi mkubwa awezi kuwa vile weweUngeangalia id yake jf , mara paap kumbe ni Evelyn Salt
JamiiAfrica unaelekea kuwa mtandao pendwa kwa watanzania hasa wasio chawa, ni jambo la muda tu kuzipita Instagram,X,na Threads.Sizani mkuu
Acha ubishi dogoHawezi kuwa huyo mkuu... We mkuu una wazimu au kichaa
Haya hata huyo nae ni mama wa mtu, unajinadi unapenda mishangazi, anaishia kusikitika tuNamjua bi mkubwa awezi kuwa vile wewe
Unataka kusema kwamba mama yake anajua kuwa mwanaye anatajirika na Yavuz Yakuz😁😁Mama zetu wanatufichia mengi, si ajabu anajua vizuri upuuzi wa mwanae humu jukwaani
Bado hatuja confirm kama yupo humu mkuuMama zetu wanatufichia mengi, si ajabu anajua vizuri upuuzi wa mwanae humu jukwaani
Umeogopa kuconfirm tu mkuu, kwani app ya jf huwa inakuja na simu?? Si kaidownload.?Bado hatuja confirm kama yupo humu mkuu
Sijui, ila the fact kwamba hutaki bibi apande jukwaani inaonesha wazi kabisa wewe ni mtumiaji wa vitu fulaniVipi hivo
Alikujuaje sababu hata akikodolea macho hawezi kukujua mpaka ufungue profile?Nilikuwa nimekaa kwenye siti moja na jemba mara nikafungua app yangu penda ya jf jembaa ikaikodolea wee mara ikacheka huku ikisema kumbe ni wewe. Tukacheka nikamuuliza wewe unatumia ID ipi hakutaja jemba ilidai haina acc ila iko humu daily tulicheka sana
Au unakuta kajiachia kwenye nyuzi ya sema fantasy yako...Hajui mkuu wasi wasi unakuja je ka login au laah..
Hi jf jau sana mkuu kweli anasoma mada za humu ndani
The great thinker kifupi mama anajitambua sana.Mkuu nimefuta hata sijaichunguza aisee naogopa tuu mpaka sasa selewi why ana hii app