Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,916
- 32,324
TISS huyo anakunyatia.Wee jamaa leo imekus siku ya ajabu sana
TISS huyo anakunyatia.Wee jamaa leo imekus siku ya ajabu sana
Ya hovyo sana watu wenyewe ndo hawa kutwa kutafuta mishangazi kutwa story za ajabu ajabu mkuuUnaona kama JF sasahivi imejaa wahuni, naweza nikakuunga mkono maana leo nimekutana na mada inabeza walimu na kuwachulia kama si watu wanaofaa kuoa mabinti wazuri.
Hii ndio JF ya sasahivi
Kumbe huyu ndio yule wa mavuzi , dah.Wewe kazana na Yavuzi Yavuzi zako ipo siku Uganga wako huko PM utakutana na mteja mnaepishana mlango mmoja.
Weee haiji tokea mkuu mbona itakua mbaya hyoUnashangaa huyo mama ako ni wizo BICHWA KOMWE - 😹😹😹
Tena mnaitana babe 🤣
Kua na adabu mkuuKumbe huyu ndio yule wa mavuzi , dah.
Awezi na haiji tokeaUnashangaa huyo mama ako ni wizo BICHWA KOMWE - 😹😹😹
Tena mnaitana babe 🤣
Na mko busy ku discuss vinyeo awwwh 😹
haha Bi mkubwa huenda kajiunga au hajajiunga, na kama kajiunga huenda anapitia nyuzi ya madini au nyuzi za hovyo, na kama anapitia nyuzi za hovyo huenda anazingatia ama hazizingatii, na kama hazizingatii mambo yako shwari kwahio chill mwanetu.Bi mdashi ajajiunga humu acha mambo yako ww
Daaah aiseee...TISS huyo anakunyatia.
Haya ngoja nifatilieWapo kibao tu kuna jamaa anauza duka sasa hv ana supermarket
Fatilia uzi wa yakuz na yakuz
Hapitii na hazingatiii mkuu...haha Bi mkubwa huenda kajiunga au hajajiunga, na kama kajiunga huenda anapitia nyuzi ya madini au nyuzi za hovyo, na kama anapitia nyuzi za hovyo huenda anazingatia ama hazizingatii, na kama hazizingatii mambo yako shwari kwahio chill mwanetu.
NitajitahidiKua na adabu mkuu.
Usinitishe mkuu...Inabidi usiandike tena kuhusiana na mambo ya kina Dori mkuu, usikute huwa anakutana nayo, halafu wazazi hata ufiche ID hadi miandiko wanaijua hata kama hawajawahi Iona hapo kabla😅😅😅😅
Ni yeye shauri zako 😹😹Awezi na haiji tokea
Ila wewe bidada 😄Ni yeye shauri zako 😹😹
Mkuu hii ya leo imenistukiza ujue...Kwani wewe JF unaichukuliaje?
Acha mambo yako awezi kuwa yeye..Ni yeye shauri zako 😹😹
Mkorofi sana...Ila wewe bidada 😄
Prida ujue ww ni mtu na heshima zake ila tunaenda gomban soon 🙌🙌🙌😂Kwako ni mama kwetu ni bro Evelyn Salt 🏃🏃
Ndo ayapate hukuOndoa hofu mkuu kuna mambo ya Biashara na kilimo,Afya,Ardhi,Mapishi,Magari,Ujasiriamali nk, mazuri tuu!
Hayajakukutaminor case