Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

T

themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
111
250
Sisi wana kilimo ni 1300000 na kuendelea kulingana na levo ya elimu Kama msc na PhD.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
kaka kila leo nakwambia go to school ili uwe well educated sio sounds zako za kijinga kama welevu na well educated people hawamo humu

ngoja nikueleze mishahara inategemea na kada uliosomea na mwajiri wako
 
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,222
2,000
Hivi wakuu,TGS G ya sasa analipwaje wakuu,kuna dogolas fulani yupo kwenye orodha ya wanaotakiwa kupanda mwaka huu lakini hajui atakinga kiasi gani
 
kim jung shik

kim jung shik

Senior Member
Mar 26, 2014
124
195
Jamani hivi salary scale ya TPGS4 ni kama kiasi gani cha mshahara
 
Pierre2017

Pierre2017

Member
Apr 16, 2019
38
95
hiv tanesco pia wanatumia hzi scale naombeni kujua scale salary ya store attendant plzn nimeapply lkn cjui mshahara wake.
 
S

stieve

Member
May 19, 2018
12
45
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Na hawa jeshi la polisi viwango vyao vya scale ya mshahara vikoje msaada tafadhali
 
Top Bottom