Watu wanaotumia akili nyingi kwenye mambo yao

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
356
1,605
1. Watu wanaotumia akiri nyingi kwenye mambo yao.

NDOO ( K. W )
MAPACHA ( C. O )
MSHALE ( I. U )

Au tarehe:
11. 23. 3. 15. 9. 21.

2. Watu wenye nguvu au mamlaka FULANI.

NG'OMBE ( B. N. Z )
SIMBA ( E. Q )
NG'E ( H. T )

Au tarehe:
2. 14. 26. 5. 17. 8. 20. 29.

3. Watu wenye UTU, ustaarabu na moyo mwema kwa watu.

NDOO ( K. W )
NG'OMBE ( B. N. Z )
SAMAKI ( L. X )

Au tarehe:
11. 23. 2. 14. 26. 12. 30. 24.

4. Watu wabaya Sana ukiwachokoza ( hatari )

NG'E ( H. T )
MAPACHA ( C. O )
NG'OMBE ( B. N. Z )

Au tarehe:
8. 20. 3. 15. 2. 14. 26. 29.

5. Watu wanaojulikana sana na watu hata mitaani. Watu maarufu.

SIMBA ( E. Q )
MIZANI ( G. S )
MSHALE ( I. U )

Au tarehe:
5. 17. 7. 19. 9. 21. 30.

6. Watu wenye Mvuto mkali kwa watu hata wakipita mbele za WATU.

NG'E ( H. T )
PUNDA ( A. M. Y )
MBUZI ( J. V )

Au tarehe:
8. 20. 1. 13. 25. 10. 22.

7. Watu ambao mara nyingi HUWA kwenye dimbwi la mawazo. Ndio maana hupenda watu wanaochekesha Ili kuwatoa huko.

KAA ( D. P )
SAMAKI ( L. X )
MIZANI ( G. S )

Au tarehe:
4. 16. 12. 24. 7. 19. 30.

8. Watu ambao hujifanyaga machizi au hupenda kujitoa ufahamu.

MAPACHA ( C. O )
MSHALE ( I. U )
PUNDA ( A. M. Y )

Au tarehe:
3. 15. 9. 21. 1. 13. 25. 30.

9. Watu wenye mioyo migumu wakati mwingine.

MSHALE ( I. U )
KAA ( D. P )
NDOO ( K. W )

Au tarehe:
9. 21. 4. 16. 11. 23. 30.

10. Watu wanaochukiwa wakati mwingine bila hata sababu.

NG'E ( H. T )
MAPACHA ( C. O )
MASHUKE ( F. R )

Au tarehe:
8. 20. 3. 15. 6. 18. 30.

11. Watu wanaotumia akiri nyingi / pia wanaweza kupatwa na matatizo ya akiri wakizidisha.

NG'E ( H. T )
MASHUKE ( F. R )
MBUZI ( J. V )

Au tarehe:
8. 20. 6. 18. 10. 22. 29.

12. Watu wanaopendwa na kumvutia KILA mtu anapokuwa karibu nao. Vipenzi vya watu.

SAMAKI ( L. X )
MSHALE ( I. U )
MIZANI ( G. S )
NG'OMBE ( B. N. Z )

Au tarehe:
12. 24. 9. 21. 7. 19. 2. 14. 26. 29. 30.

By magical power
 
Usinaswe na mafundisho ya imani ambayo ni matokeo ya fikra za watu wengine 🤔
 
Ajaandika ujinga sema wewe ndio mjinga.
Alafu rudia kunisoma vizuri hasa huo mstari wa kwanza ujifunze kitu
Acha upuuzi wewe. Sayansi ni fikra za watu, alichoamini Einstein ndicho mwanafizia anaamini na kufundisha. Sayansi ni imani kama imani zingine.

Mbona hatujaiacha sayansi japo ni imani na fikra za watu?
 
Acha upuuzi wewe. Sayansi ni fikra za watu, alichoamini Einstein ndicho mwanafizia anaamini na kufundisha. Sayansi ni imani kama imani zingine.

Mbona hatujaiacha sayansi japo ni imani na fikra za watu?
Haupo sawa wewe, Imani ni nini? Huwezi sema alichoamini Einstein ndicho wanafizikia wanaamini unajielewa kweli? Unajua kuwa kuna mambo hata huyo Einstein alipingwa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom