Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

K

Kijukuu cha ngoyayi

Member
Joined
Oct 27, 2018
Messages
65
Points
125
K

Kijukuu cha ngoyayi

Member
Joined Oct 27, 2018
65 125
HEBU TIZAMA TOFAUTISHA YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA MIPYA
KWA WATUMISHI WA UMMA TANZANIA:

Ngazi ya Cheti:
Mwalimu 244, 400/
Afya 472,000/
Kilimo/Mifugo 959,400/
Sheria 630,000/
Ngazi ya Diplomma
Mwalimu 325,700/
Afya 682,000/
Kilimo/Mifugo 1,133,600/
Sheria 871,500/
Ngazi ya degree
Mwalimu 469,200/

Afya 802,200/
Kilimo/Mifugo 1,534,000/
Sheria 1,166,000/


angakia hapo penye italics na bold
Bro ni mwl wa msingi mwenye cheti basic salary ni 429000 ww hiyo 244400 umeitoa wap
 

Forum statistics

Threads 1,324,588
Members 508,741
Posts 32,167,430
Top