Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,180
- 39,948
Tafuteni kazi zinazowapatia nafasi au muda wa kufanya mambo yenu kwa uhuru,mambo ya mishahara haisaidii.Unaweza kulipwa mshahara mkubwa na ukafanyishwa kazi kama mtumwa.
Utaishi kwa kubeti!mishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?
Pesa nyingi sana 1.5- 1.8 m ambayo ndo daraja LA mwisho kabisa. Ukipanda haupandi tnHivi wakuu,TGS G ya sasa analipwaje wakuu,kuna dogolas fulani yupo kwenye orodha ya wanaotakiwa kupanda mwaka huu lakini hajui atakinga kiasi gani
TGSD ni kiasi gani mkuu?Pesa nyingi sana 1.5- 1.8 m ambayo ndo daraja LA mwisho kabisa. Ukipanda haupandi tn
Nimesahau na lile li mtaala sijui nilitupa wapiTGSD ni kiasi gani mkuu?
725,000 BASICTGSD ni kiasi gani mkuu?
Shukrani sana mkuu725,000 BASIC
Jeshini hakuna mishahara maana wanajeshi hawajaajiriwa bali wameandikishwaMajeshini huko.mishahara yao vipi?
Jamani hivi salary scale ya TPGS4 ni kama kiasi gani cha mshahara
TGS C 1 na PGSS 4.1725,000 BASIC
Na hawa jeshi la polisi viwango vyao vya scale ya mshahara vikoje msaada tafadhaliWanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Utaishi kwa kubeti!
Bado I na J ( not sure)Pesa nyingi sana 1.5- 1.8 m ambayo ndo daraja LA mwisho kabisa. Ukipanda haupandi tn