jamvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samedi Amba

    Niliamua kukunja jamvi - Ndoto ya Machimbo.com

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei ndogo na wauzaji kuwafikia wanunuzi moja kwa moja. Nikiwa "chini ya maji", nilipitia phases kadhaa...
  2. Lanlady

    Jamvi la Habari lawakalia kooni viongozi CWT

    Inawezekana ikawa ni mbinu ya kugawanya na kutawala (divide and rule)? Ni nani wako nyuma ya hii vita?
  3. M

    Yanga kuchanika kwa jamvi siyo mwisho wa maongezi, 'overconfidence' imewamaliza leo

    Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda wowote. Wenzao wameingia kwa dhamira moja ya kupata magoli ili kuondoa unyonge wa miaka mingi, na...
  4. Mia saba

    Wazee wa jamvi - mkeka ; pesa (boom🤑) uliyomla muhindi-kanji ulifanyia nini Cha kujivunia? Njoo tutoe ushuhuda

    Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi. Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013. Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
  5. C

    SoC02 Mitandao ya kijamii ni jamvi linalotuunganisha, maudhui ya kikao juu ya jamvi yasitusambaratishe

    Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
  6. M

    20 Wisdom Quotes You Should Know

    1. "A fool will learn nothing from a wise man, but a wise man will learn much from a fool." 2. "Anger slowly. Forgive quickly. Trust cautiously. Love easily." 3. "Wisdom comes to us when it can no longer do any good." 4. "There is no bigger weapon than the brain, yet the time powerful in the...
  7. Mshirazi

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  8. Home First

    Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

    Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili. Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae...
  9. Mshana Jr

    Jamvi la wageni

    Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama kigoda! Kwa tamaduni za pwani ni nadra kukuta viti ndani ya nyumba .. Na hii inatokana na ama...
  10. B

    Shilingi Bilioni 24.2 za Jiji hazijulikani zilipo

    😀😀😀😀 Hazuulikani
  11. I

    Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
Back
Top Bottom