Tunaomba na mkataba wa madini pia uwekwe wazi. Mama juzi amesema Mirerani tunapigwa kama kawaid. Ile professorial report iwe wazi.
 
Unakosa pakushika wajingaaa. Mlijua kutetea kila upuuzi haya magufulifikesheni yenu ndo hii? Umwamba wa afrika ndo huu? Unaacha bandari unakimbilia kujenga busisi na chato kilasiku!

Mjifunze kuitetea na kuwa wazalendo kwa Tanzania badala ya kuwa mzalendo wa mtu au chama
 
Aisee
Aiseeh!!
Kumbe alikuwa anajuwa hayo toka mwakajuzi ila aliogopa kumkosoa mwendazake!!!🤔🥺
 
Heheheh..vituko vya mwaka

Naona kila mwanasiasa ameanza kumponda mwendazake..kazi ipo!

Hii inatufundisha nafasi tulizo nazo tusimwamini yeyote wala kisifiwa hovyo.....hii imetoa funzo maofisini + kwenye mitaa tunayoishi

Utanyenyekewa + kusifiwa ila ukifilisika tuu au ukifa cha moto utakiona
 
Ama kweli zimeanza kurudi sasa hv, tutaona mengi kabla ya mwaka kuisha 🤣🤣🤣
 
Mizigo ipi wewe!
 
Jamani! Daah
 
Nimecheka spika alichoongea Ndugai kwenye Clip anasema ukiangalia presentation waliyotufanyia wachina kule kwao ule mradi ni mzuri sana!

Nimweleweshe mradi mzuri huuangalii kwenye presentation nenda kwenye mkataba huko ndiko utajua ni mzuri au la.

Tuonyesheni mkataba.

Pili anasena ni kosa kuanza kujenga reli kabla ya bandari!!! kwa hiyo unaanza kujenga stendi ya mabasi kabla ya barabara? Mfano hakuna barabara hata moja ya kutoka Dar kwenda mkoa wowote kwa hiyo wewe cha kwanza utaanza kujenga stendi ya ubungo wakati huna hata barabara moja?

Bandari sisi tunayo tayari hilo la kusema tumetanguliza mkokoteni mbele ya punda anayetakiwa yeye kuwa mbele na mkokoteni nyuma sio kweli .Sisi bandari tunayo tayari huo mfano hautuhusu walitakiwa wawajibu hivyo hao wachinadio tu ku swallow everything!

Naanza kunusa harufu ya rushwa Ndugai na kundi lake China walipoenda kuna kitu waliahidiwa au walikula rushwa.

Huwezi kuukubali mradi kwa ka kapresentation tu kadogo ka dakika chache ka power point bila kuona mkataba.
 
Huku mwishoni alikuwa akimsema sana Mungu , huku akijua ameua watu, amefunga watu kifungoni kwa hila, na wengine kwa roho mbaya tu kakazi.

kuwa kifo kinamtafuta mtu huyu.
 
Aiseeeeeeeeee !!!!!!!!!!!!!!

Kwahio wale waliomshauri then, sasa hivi hawapo ? Au ndio walewale wanaoshauri hivi sasa vingine

Duh kweli kupata watu wa kweli hatuna budi kuwapiga wote waliokuwepo kipindi kile tuanze moja.

Na bado tunafanya makosa yale yale kwanini mtu ndio aamue miradi na sio wadau pamoja na wataalamu kwa kuhusisha upembuzi yakinifu through wananchi kwa kupitia bunge lao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…