Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Hakuna ubabe ila kila kitu kikifanyiwa siasa nadhani nchi itakuwa imefika mwisho.. Hakuna kujitolea kila mtu akipewa nafasi flani lazima aibe kisa tu anawaza maslahi yake. Uzalendo hakuna mtu hata akiona mti umeangukia barabarani hawezi jitolea kuutoa hadi alipwe, tujenge utamaduni wa kupenda kujitolea..
Sasa ndugu mjeda kuna tatizo gani mtu kuuliza mshahara wenu,kuna siasa gani hapo,jeshi ni ajira ndo mana mnalipwa mishahara na marupurupu sasa kama ni kujitolea mngekataa kupokea mishahara basi.na muache ubabe usio na tija,ubabe kafanyeni huko kwenye diployment sudan,kongo etc,sio kwa wananchi mliopewa jukumu la kuwalinda.na tabia ya kutolipa nauli ilhali mnalipwa mishahara minono muache.waalimu ndo walipaswa wasamehewe nauli sio ninyi.
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Kazi ya jeshi ni wito pia, usianhalie mshahara ndio ujiunge, watu kama nyie hamfai kabisa kujinga jeshi kwani mnaweza kuisaliti nchi kirahisi ,kama vipi nenda upanga au lugalo ukaulize hiyo mishara utapata majibu mubashara
 
Sasa ndugu mjeda kuna tatizo gani mtu kuuliza mshahara wenu,kuna siasa gani hapo,jeshi ni ajira ndo mana mnalipwa mishahara na marupurupu sasa kama ni kujitolea mngekataa kupokea mishahara basi.na muache ubabe usio na tija,ubabe kafanyeni huko kwenye diployment sudan,kongo etc,sio kwa wananchi mliopewa jukumu la kuwalinda.na tabia ya kutolipa nauli ilhali mnalipwa mishahara minono muache.waalimu ndo walipaswa wasamehewe nauli sio ninyi.
Nadhani kuhusu kutolipa nauli umesimuliwa vibaya.. Kama safari ndefu wanalipa ila wanaomba punguzo, ambapo huwa ni hiyari ya muombwa kukubali au kukataa na pia usione kama nauli ya 5000 ni hasara sana kuliko mnazowapa kila siku tena bila hata kuombwa na wale rafiki hukohuko njiani mbona hamlalamiki? Kumsaidia mwanajeshi kwenda kazini kutimiza majukumu yake ni moja ya kujitolea mkuu, pata picha umelala na mkeo saa 7 usiku unaambiwa kuna tukio la uokozi mahali flani, utaenda au hadi ulipwe? Pia naelezea tu hakuna sehemu nimesema mie mjeshi
 
hahah na ww hujajua kama natania mkuu,sina tatizo na wajeda,mana hata rafiki yangu mmoja ni mjeda ila hana tabia za ukorofi kama wale wengine wa kanda maalum.
 
Mshahara ni moja vitu vinavyomvutia mtu kufanya kazi/ajira fulani, utalisha nini familia yako?
Ni kweli lakini dhana ya mshahara haitakiwi kuwa mbele kama tai na kila kazi ina ethics zake sasa kijeshi ukionesha ulafi wa kupenda mshahara tunakuterm kama adui katika kazi kwa sababu duty za kule hazina overtime kama asasi zingine za kiraia so ukiweka akili za kufananisha duty za kule na ukalinganisha na mshahara unaweza usione kama unatosha.So soja mpenda hela kuliko kazi ni rahisi kununuliwa kirahisi na ukaleta madhara kiusalama
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
kaka jeshi limejitosheleza idara zote na mafunzo hata mabayo idara zingine haijafika na ina mfumo wa kuajiri watu km ina upungufu wa dharula pia ufahamu jeshi linaweza kukuchukua darasa la saba na kukuendeleza ukawa injinia wa ndege,mwanasheria nk.kiasi cha graduate wanaotoka mtaani kitapungua baada ya kuanza shahada ya kwanza ya military science.hivi karibuni(walisema tbc mtaala upo tayari)
jeshi lina maprof na ma dr kibao.
pia mshahara unategemea cheo unaweza ukawa na phd (uandishi wa habari)meja na mwingine form four na diploma ya artely akawa brigedia(jeshini shahada za mtaani si muhimu km shahada za kwao shahada za mtaani ni added advantage tu )unazani meja amzidi mshahara brigedia.
mwisho masuala ya mishahara wa mtumishi wa umma ni siri kwa mujibu wa sheria,uzalendo kwanza maslahi baadae
 
Ni kweli lakini dhana ya mshahara haitakiwi kuwa mbele kama tai na kila kazi ina ethics zake sasa kijeshi ukionesha ulafi wa kupenda mshahara tunakuterm kama adui katika kazi kwa sababu duty za kule hazina overtime kama asasi zingine za kiraia so ukiweka akili za kufananisha duty za kule na ukalinganisha na mshahara unaweza usione kama unatosha.So soja mpenda hela kuliko kazi ni rahisi kununuliwa kirahisi na ukaleta madhara kiusalama
Neno
 
Yaaani adui anaitaji siri za jeshi anatumia Jamiiforums? Labda wale maadui watatu alowasema Mwalimu Jk.

Hivi unajua mpaka sasa jeshi letu linatumia Yahoo?
Jaribu kupitia michango yangu utanielewa
kaka kwenye ujasusi kuna informa na sosi......... usidharau kipere kumbe ni kansa,
kutumia yahoo unahisi ndo inakufanya useme jamii forum?unahisi jeshi halijui taarifa za kutuma kwa jahoo na taarifa za kutuma kwa mdomo
 
mkuu umeongea vizuri sana...jeshi ni KAZI kama kazi zingine ila kuna miKITWANGA mingine imetunisha macho mekundu humu inawapotosha watu kwamba jeshi ni KUJITOLEA wakati yenyewe imetunisha matumbo uraiani.
jeshi halina vyama vya wafanya kazi,jeshi haliruhusu majadiliano ni utekelezaji,jeshi ukigoma front adhabu yake inajulikana,jeshi huwezi kusema nadai vyeo au mshahara hautoshi tuandamane and much more
 
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.

Acha utumwa kwa hiyo kujua mshahara wa mwalimu ruksa mwanajeshi amna
 
Mbona mnapenda kukuzà vitu kwani mshahara una siri gara au ndi nyakara nyeti. mishahara ya nchi zilizoendelea ya wanajeshi kama UK na USA Mbona ipo hadharani kila mtu anajuwa
Hapo sasa, yaani huku Bongo watu wanajifanya kila kitu siri, sijui ni hatari kwa usalama.. bla bla nyingi tuuu...
 
Jeshini sio sehem ya kutegemea malipo, ni Taasisi iliyoundwa na wenye mioyo ya kijasiri na walio tayari kwa lolote mda wowote, kuhoji malipo jeshini ni moja ya udhaifu wa kukuonyesha kuwa hufai kuwa mwanajeshi, kama huna moyo wa kuhimili mafunzo na mazingira ya kazi (mstuni) hata ungelipwa kiasi gani huwezi kukaa jeshini, hatufuati malipo bali ni kuipenda kazi ya uanajeshi na kujiamini kwa 24/7 kuwa wewe ni rasilimali mhimu yenye kusimamia usalama wa raia wengine iwe usiku, mwituni(jungle), jangwani, majini, usiku au mchana,
Je, kwa hayo yote kama ni malipo asikari angelipwa mamilion mangapi?
NB: jeshi sio Taasisi ya kutoa ajira bali Taasisi ya kimafunzo na ulinzi.

Ilikuwa zamani kaka, siku hizi teknolojia imechukua nafasi sana pamoja na malipo. Ukakamavu ni lazima kwa mwanajeshi lakini mwisho wa mwezi mshahara si hiari ni lazima apate, hakuna kujitolea jeshini kwa sasa. huo ndio ukweli, mambo mengine yote uliyosema nakubali lakini mshahara sio siri duniani kote.
 
Haulizi mishahara ya watu, anauliza mishahara ya kwa kazi ya uanajeshi kwa viwango hivyo vya elimu. nani alikwambia mshahara jeshini ni siri nyeti? Unajua kama wewe ndio unawalipa mshahara wanajeshi kupitia kodi unayotoa (kama unalipa kodi lakini)?
mishahara inategemea mfumo wa jeshi na cheo cha askari sio elimu ya uraiani,km kuna wakati walitoa grace pariod basi ni faida ya hiyo intake,KUNA WATU MWAKA WA 20 WAPO LUTENI NA ALIINGIA ADVANCED DIPLOMA

IMEZUILIWA
 
Hii nchi inawatu wa ajabu sana mtu anatumia ID feki afu wewe unataka umjibu mambo ya kiusalama ndio uzalendo huu kweli?

Mambo ya kiusalama mashahara nyie ndo kila kitu mnakiita uchochezi
 
Sasa mkuu tutasikia hivi mpaka lini?

Si anayefahamu atudokeze japo kwa ufupi?

Tunayasikia mengi, sasa kuliko tuisgie kuimba mambo yakuambiwa tena unakuta anayeniambia naye kasikia tu.

Leo nahoji anayefahamu aseme, hata kwa direct message nashangaa mnatoa ushauri nasaha tu.
Kama unafaham dokeza ROUND FIGURE.
MFANO MTU AKISEMA SHAHADA AROUND MILIONI KUMI MAANA YAKE KIUSALAMA UNAMPA ADUI RANGE YA KUPREDICT.
PILI KIJANA AKIENDA AKAKUTA SIO NA TUMEMPA MAFUNZO AKAACHA KAZI HUONI TUMEPOTEZA RASILIMALI MUHIMU? KWA MAANA GHARAMA ZA MAFUNZO NA GHARAMA ZA KUMCHUNGA AKIWA MTAANI BAADA YA KUACHA KAZI?
 
Mbona mnapenda kukuzà vitu kwani mshahara una siri gara au ndi nyakara nyeti. mishahara ya nchi zilizoendelea ya wanajeshi kama UK na USA Mbona ipo hadharani kila mtu anajuwa
KILA TAIFA UTARATIBU NA UTAMADUNI HAUPO SAWA,UNAHISI KOREA,URUSI,CHINA,MAREKANI UFARASA ,ISRAEL NK WANA MIFUMO SAWA NA VITU VIKO WAZI?KM TAIFA TUNATOFAUTI NA TAIFA JINGINE,MFANO KWENYE NDOA,USHOGA ALEZI,ELIMU NK, HATA MIUINDO NA MIFUMO YA KIUSALAMA
 
Kumbe wanaokwenda jeshini wanafuata nini kama si maslah ya kuendeleza familia yake,hii ni kazi kama kazi nyengine wacheni kujifanya wazalendo sana, huo sio uzalendo Bali ni upuuzi tu,kabla mtu hajajiunga na taasisi yoyote maslah kwanza, unawezaje kuilinda nchi kizalendo na njaa? Haiwezekani, huyu jamaa ni makini sana ndio maana anauliza ili ikiwa ina maslah ajiunge ikiwa haina atafute kwenye maslah na yy.
UR VERY WRONG BROTHER WAPO WENGINE WANAKWENDA KUTUMIKIA NA ANA I FEEL HIYO KAZI,WA MASLAHI HAWAKOSEKANI.
WENGINE TULIAJIRIWA WAKATI HAKUNA INTAVYUU KAZI ZIKO SI WAKATI AMBAO WATU WANAKIMBIZANA NA BAHASHA NA UNACHAGUA KUTOKANA NA MAPENZI SI MISHAHARA KWA KUWA HATA KWENYE MASOMO YA UTAWALA TULIFUNDISHWA HIVYO MISHAHARA SI SWALA LA WAZI KWA YEYOTE NA POPOTE.
 
Back
Top Bottom