kwa nini msiulizwe??? mishahara siyo siri na ndo mana hata majarida ya nje yakajua Tanzania ni mojawapo ya nchi 5 Duniani inayolipa mishahara midogo xana,,,!! kuliko nchi zote duniani,,,
Wengi wenu mnaota matumbo kwa laki mbili tu,, mkikutwa kwenye maofisi mnajikuta mnakaripia had watu mnaowahudumia, ambao in fact ndo wamewaweka hapo..!!!! isemwe tu ili tuone hayo mavitambi ni ya halali au ya wizi...!!!!!
Wengine wanaridhika tu na hivyo vijicenti kisa kaambiwa utakua mnyapara
cpend xana tabia ya mtu kujikuta Mungu mtu akiwa kwenye kioffice ukiwa na shida...!!!!!!!!!!!!!!!
Na hata wasaidizi wangu nimewapa sheria kali juu ya nidhamu kwa mteja,, mteja mfalme ht ikibibd viatu unamlamba......