Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,101
Muongo huyo kuna mahakimu wanalipwa hadi 4mMmh hii mishahara ya Mahakimu mbona kama ni midogoo kulingana na Maishaa yao wanayoishiii...!!???
Muongo huyo kuna mahakimu wanalipwa hadi 4mMmh hii mishahara ya Mahakimu mbona kama ni midogoo kulingana na Maishaa yao wanayoishiii...!!???
Dereva mwenyewe anajenga, wewe unazungumzia mwaka gani?Uongo,
Session za majaji si laki 150, kwa siku Sasa hiyo pesa ni nyingi?
Mwaka gani hiyo riki?Kuna mmoja alikuwa Private wa kawaida tuu mmh yani Nguo zenyewe kubadilisha tabu...!!
150 kwa sikuDereva mwenyewe anajenga, wewe unazungumzia mwaka gani?
hiyo ni scale ya mwaka 1995.
Hao ni 1m basicMawakili nao vip?
Mama ana mambo mengi, wacha kwanza apewe list ya wanaomlipa bi dada wa marekani ndio arudi kwenye ajira.Wakuu mambo vp naomba kuulza Ajira za JWTZ zinatoka mwez gan?
Mawakili muwe mnajiajiri.Mawakili nao vip?
Ya sasaNilipokuwa jeshini zamani, nilipokuwa private tulikuwa tunalipwa sh. 500 per month. Yaani, " dala". Ndiyo ulikuwa mshahara wetu. Siku hizi ni coin ya kupanda daladala. Hii hela,of course, tulikuwa hatuipati yote, tulikuwa tunapata ,,' advance ' ya sh. 1500 tarehe kumi na tano,na sh 350 tarehe thelathini.
Sasa ngoja nikueleze mshahara wetu tulipokuwa maafisa, nilipokuwa luteni.
Nilipokuwa luteni nilikuwa naliowa sh. 1900 kwa mwezi. Nikifika Mbowe Disco nawanunulia drinks rafiki,wanaambizana,"hapo ipo kazi".