Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Wakuu kama huwezi sema hapa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshahara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya UHAMIAJI akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa UHAMIAJI unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
 
Mshahara kima cha chini ni Tsh. 70,000/=

Mkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....

Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520,000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi.
 
Mkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....

Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi
Huyo aliwadanganya,huo mshahara ni wa mtu wa form six au koplo mwenye miaka kadhaa kazini tena kabla ya makato, mwenye form 4 anachukua around 450k kabla ya makato.
 
Mkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....

Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi
😄😄😄 uongo huu.
 
Okay ngoja nichangie kidogo na nitatoa mfano kwa polisi
Mshahara huwa unalipwa kulingana na degree uliyonayo mfano
Askari mwenye degree ya udactali analipwa 1.5m basic salary apo sijaweka posho laki 3 kila mwezi na laki 1 kila mwezi na bado posho ya ujuzi maalumu 15% ya mshahara wake
Askari mwenye degree ya IT analipwa laki 990000 basic salary kuna posho laki 300000 per month pia laki 1 kila mwezi na 15% ya mshahara pesa ya ujuzi maalumu
Askari mwenye degree labda ya law sijui uchafu gani ni laki 860000 na izo posho zingine nilizo ziweka juu
Form six laki 520000 na posho zingine nilizo zitaja kasolo pesa ya ujuzi

NB mimi sio askari ila najua ivyoo
 
Tunashukuru kaka maana watu wanapotosha sana....

Cha kuongezea vyombo vyote vya ulinzii vya mambo ya ndani mishahara yao inalingana
 
Okay ngoja nichangie kidogo na nitatoa mfano kwa polisi
Mshahara huwa unalipwa kulingana na degree uliyonayo mfano
Askari mwenye degree ya udactali analipwa 1.5m basic salary apo sijaweka posho laki 3 kila mwezi na laki 1 kila mwezi na bado posho ya ujuzi maalumu 15% ya mshahara wake
Askari mwenye degree ya IT analipwa laki 990000 basic salary kuna posho laki 300000 per month pia laki 1 kila mwezi na 15% ya mshahara pesa ya ujuzi maalumu
Askari mwenye degree labda ya law sijui uchafu gani ni laki 860000 na izo posho zingine nilizo ziweka juu
Form six laki 520000 na posho zingine nilizo zitaja kasolo pesa ya ujuzi

NB mimi sio askari ila najua ivyoo
Kwa nini ukadktari degree alipwe 1.5M na degree zingine iwe pesa ndpgo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom