Bado unaendelea.Uelewa wako na uchambuzi umeishia hapo?
Kwani mkuu hayajaisha tu bado mi mbona nishasahau.Nimekwambia recently mawasiliano ya kijeshi yalikua yanafanyika through yahoo wakati hacker anayeanza anaweza ku hack yahoo.
Mishahara ya jeshi inapita benki na nimesikia kuna salary slips.
Jamani, acheni kukuza mambo
Na nyie. Hasira zenu huko huko makambini. Mnaleta mihasira yenu hadi huku uraian kama vipi si muende libya. Huku ni social interactionsUnaniita mi mpumbavu? Hujui kujibu hoja bila matusi? Wazoee wenye level zako mkuu kwa heshima mi Siwezi nikabishana na wewe ambaye mambo unayapeleka kienyeji utadhani jeshini ni tempo ya kufundisha, kila Taasisi ina miiko yake, sio kila sehemu utatajiwa mshahara, jeshi hatuiti ajira ni kujitolea kwa uzalendo na kulinda taifa,
Ila naomba tafadhali usirudie tena kunitusi maana hatufahamiani pia hakukuwa na ulazima wa kufanya hivyo, ukikataa kueleweshwa humu nenda ngerengere 92kj uulize malipo, utaeleweshwa na salary slip utaonyeshwa, ni wakarim mno hujapata kuona.
Sidhani kama umeelewa hoja yangu.Sasa kama bank teller anajua mshahara wa mwanajeshi si umshauri huyo mwenzako aende labda atapata anachotaka.
mkuu umeongea vizuri sana...jeshi ni KAZI kama kazi zingine ila kuna miKITWANGA mingine imetunisha macho mekundu humu inawapotosha watu kwamba jeshi ni KUJITOLEA wakati yenyewe imetunisha matumbo uraiani.Mshahara wa mwanajeshi kuwekwa hadharani una madhara hani katika nchi???nadhani ni uoga na hofu isiyokuwa na msingi, hawa wanajeshi tunaishi nao mtaan ni ndugu na marafiki zetu mishahara yako, posho zao na benefits nyingine kwenye financial institutions tunazijua kwa uwaza tu. Mtu angeuliza mafunzo wanayopitia angalau tungeweza kusema siri ila sio mshahara. Na jeshi sio kujitolea kwa miaka hii ni ajira kama ajira nyingine tu na wanamishahara mizur kuliko kada nyingine kama Polisi, Magareza , waalimu na Afya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hili suara sio la kisiasa. Jaribu kuficha madhaifu yako.Kuna uhusiano gani kati ya ccm na Obama? Upinzani mwingine ni upuuzi tu
Majitu ya jf mengi ni mavilaza eti jeshi ni taasisi nyeti!! Hizo nyeti mnazijua?Sijaona tatizo la mtoa mada, ameomba kujuzwa tu. Mbona hata mshahara wa Rais unajulikana sembuse wa wanajeshi?
Kwa mara ya kwanza nimetokea kupenda michango yako but nakuomba upunguze asira.mkuu umeongea vizuri sana...jeshi ni KAZI kama kazi zingine ila kuna miKITWANGA mingine imetunisha macho mekundu humu inawapotosha watu kwamba jeshi ni KUJITOLEA wakati yenyewe imetunisha matumbo uraiani.
soma kwanza post wewe MLEVI usijibu tu kabla ya kusoma.Unahoji mshahara was mwanajeshi unataka kujua ili iweje? Unataka kufanya hujuma?
Wito uko kwa mapadri na walimu tu acheni ubabaishajihata akiujua utamsaidia nini sasa, mshahara wa Raisi hata ukiujua haukufanyi uvutike kuiomba nafasi hiyo,,,, sasa jeshini ni kada ya kawaida kabisa kama mtu unapenda kujiunga na jeshi wewe nenda kajiunge si basii suala la mshahara utakutana nalo huko huko sio suala letu huna uzalendo wewe maana unatanguliza pesa sana badala ya wito binafsi
Umesaha league za Jamiiforums?Kwani mkuu hayajaisha tu bado mi mbona nishasahau.
kama huna jibu si ukae kimya? kinakuwasha nini?wewe ni mtu hewa kabisa. kwahiyo kama ni kodi za wananchi ndio waanike humu payroll yake? Never on Earth. Nenda Makao Makuu ya Jeshi Ngome utajibiwa maswali yako.
kutajiwa BEI na KUONEKANA HADHARANI kipi kina madhara zaidi KIUSALAMA? ama kweli humu ndani kuna maKITWANGA yasiyokuwa na idadi...nawe ni mmoja wao!Huwa mnatajiwa walinunua sh. Ngapi?
Umetishwa na nani? Do you think jamiiforums is worthier than preserving some norms of each institution? Keep on knowing that jf is merely a social network, never expect to achieve confidential issues as you intended, rather you will receive some tiny drops of opinions related to your doubt or request....Acha kutishia watu humu. Kama sio kazi na hampewi mshahara sasa salary slip za nini? Unajiona unajua mambo lakini bado saaana.
NB: hapa sio jeshini ni Jamiiforums na kaurimbio yetu ni We Dare to Talk Openly. So usitutisheeeeeeeeeeeee
dad was a soldier, told me dat, alafu hawalipwi na serikali ila wananch dats y jw, oooky? your dad was a....We kijana bado saaana.
kwani JESHI ni KABURI? acha vitisho vyako vya KILEVI!Hivi wew thaman ya uhai wa mtu unaweza linganishwa na kiasi cha pesa??
Unaelewa maana ya teknolojia? Nenda kajisomee upya bado una safari ndefuN
Labda nguvu za kupasua matofali,acha kunichekesha eti maarifa maarifa yapi hayo huku technologia na vifaa vyote ni imported kutoka nje