Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
Mkuu nadhani hujui unachokisema. Kila kazi ina risk zake. Madaktari wangapi wanawatibu wagonjwa wa UKIMWI bila groves? Walimu wangapi wamefungwa maisha kwa kutembea na wanafunzi? Wafanyakazi wangapi wa TANESCO wamefia kwenye nyaya? Hivi mnadhani jeshi ndo kazi ngumu kuliko zote?Khaa..! Siwez endelea kubishana zaid, kama pesa inazidi thamani ya uhai wako.
Acheni dharau.