Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

ACHEN UNAFIK,HAKUNA SIRI DUNIANI,KAMA TAIFA KAMA USA LIKO WAZI KWENYE MSHAHARA,TZ ETI WANAFICHA !ULIMBUKENI TU WA WAAFRIKA,
VITU NONSENSE KWEL,RAIS MWENYWE MSAHARA UKO WAZ NA NDO AMIR JESHI,askar wa kawaida usijulikane.....

SHAME ON YOU
 
hata akiujua utamsaidia nini sasa, mshahara wa Raisi hata ukiujua haukufanyi uvutike kuiomba nafasi hiyo,,,, sasa jeshini ni kada ya kawaida kabisa kama mtu unapenda kujiunga na jeshi wewe nenda kajiunge si basii suala la mshahara utakutana nalo huko huko sio suala letu huna uzalendo wewe maana unatanguliza pesa sana badala ya wito binafsi
Vipi ukijiunga halafu ukakuta mshahara wako hautoshi kununua hata vocha? Wewe ukiambiwa kuna kazi hapa unasotea sana halafu usiambiwe utalipwa sh ngapi utaifanya? Yaani unaacha familia unapelekwa kambini hata babu yako akifa unaweza usipewe ruhusa ya kuja kuzika. Halafu unataka usijue unalipwa sh ngapi?? Hebu tumieni akili.
 
Kama una mpango wa kwenda Jeshini , Jiulize haya maswali kwanza;

1. Je niko tayari kufa kwa ajili ya nchi yangu ya TANZANIA?

2.Je, nina uwezo wa kuwa MZALENDO kwa nchi yangu ya TANZANIA?

Kama unazo hizo traits hapo juu...Nenda jeshini;

NB:

Jeshini kule kuna mgao wa MAJUKUMU YA KULINDA NCHI tuu na sio mshahara wala vyeo.

Kama unaweza mshahara kufungua mradi wa kuku utulie kwako..

Transcend( 2017)
Am sorry. Siko tayari kufa kwa ajili ya nchi isiyo na mwelekeo. Na kwa hiyo misingi sihitaji hata kujua mshahara wao
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
UKISHAJUA HALAFU IWEJE? AU UNAPATA FAIDA GANI? KIJANA WEWE WA KIUME KWA UMBEA UMEKUBUUU! HEBU ULIZA YANAYOKUHUSU, YASIYOKUHUSU ACHANA NAYO! HILO NI SWALI LA KIPUUZI NA NI KUPOTEZA MUDA NA KUJILISHA UPEPO! STOP........
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Hata kama utajuwa mshahara ulipwao kwa wanajeshi, unapaswa kufahamu siyo lazima wachukue kila tom, dick and harry.
wana screening system yao ambapo wanawachukuwa wale tu ambao wanaona kuwa wanafaa.
 
Inategemeana na Elimu yake na kukaa kazini muda gani.....mwaka 2013 Pesa aliyokuwa anachukua ni laki tano but kwa sasa sijui huyu ni Wa Elimu ya darasa LA saba au form four....
 
ACHEN UNAFIK,HAKUNA SIRI DUNIANI,KAMA TAIFA KAMA USA LIKO WAZI KWENYE MSHAHARA,TZ ETI WANAFICHA !ULIMBUKENI TU WA WAAFRIKA,
VITU NONSENSE KWEL,RAIS MWENYWE MSAHARA UKO WAZ NA NDO AMIR JESHI,KAPUKU HUNA HATA CHEO USIJULIKANE.....

SHAME ON YOU
Mkuu mbona unakuwa na kelele sana..!

Haya sema basi wanalipwa sh. ngapi?
 
ACHEN UNAFIK,HAKUNA SIRI DUNIANI,KAMA TAIFA KAMA USA LIKO WAZI KWENYE MSHAHARA,TZ ETI WANAFICHA !ULIMBUKENI TU WA WAAFRIKA,
VITU NONSENSE KWEL,RAIS MWENYWE MSAHARA UKO WAZ NA NDO AMIR JESHI,KAPUKU HUNA HATA CHEO USIJULIKANE.....

SHAME ON YOU
Haya utaje huo mshahara wa huyo kapuku... Unaweza kuuweka hapa mshahara wa mwanajeshi wa USA?
 
Vipi ukijiunga halafu ukakuta mshahara wako hautoshi kununua hata vocha? Wewe ukiambiwa kuna kazi hapa unasotea sana halafu usiambiwe utalipwa sh ngapi utaifanya? Yaani unaacha familia unapelekwa kambini hata babu yako akifa unaweza usipewe ruhusa ya kuja kuzika. Halafu unataka usijue unalipwa sh ngapi?? Hebu tumieni akili.
Wewe ndo utumie akili.. Kuna mchangiaji alishasema kwa hali ya jeshi ilivyo ni uzalendo zaidi bila kujali mshahara.. Uwe tayari kukosa mambo mengi ili tu kuilinda nchi yako. Ni mshahara kiasi gani utalingana na kitendo cha kujitolea kufa au kuzuiwa hayo ulotaja wewe na uiache familia yako ukae kambini karibu 70% ya maisha yako, tena kila tukio ndani ya nchi likitokea watu wa kwanza kuitwa ni jeshi, huoni bajeti nzima wangekula wao? Kujitolea na kuipenda nchi yako ndo kila kitu jeshini
 
Umeshasema UK na USA na sio nchi yetu, kila kitu Ni siri na msitake kujua anachokipata mtu flani,
 
Haya utaje huo mshahara wa huyo kapuku... Unaweza kuuweka hapa mshahara wa mwanajeshi wa USA?
9f1d3cae8158e462de624f2fbdd2e99a.jpg

Wajeda wakibongo bana,ubabe mwingi kwa raia,wanapenda kuogopwa na kutukuzwa utafikiri sjui nini alafu wengi wa dizaini hyo niwale wasio na vyeo(privates) na ambao hawajafanya tour yoyote.ubabe wenu mpaka muwe wengi,akizinguliwa mmoja anakimbilia kambini kuwaita wenzio.sasa mtu kauliza swali la kawaida tu kujua mshahara mnaanza kuleta maneno meengi,wanajeshi wenzenu ughaibuni tunaishi nao freshi tu hata sku moja huwezi kukuta wanamrukisha raia kichurachura.Acheni ubabe wa kizamani.
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Hao wanaokuambia hela ipo ndo wakuambie wanachukua kias gan cha mshahara na kama maisha ni kitonga kwao wao wana nn?
 
9f1d3cae8158e462de624f2fbdd2e99a.jpg

Wajeda wakibongo bana,ubabe mwingi kwa raia,wanapenda kuogopwa na kutukuzwa utafikiri sjui nini alafu wengi wa dizaini hyo niwale wasio na vyeo(privates) na ambao hawajafanya tour yoyote.ubabe wenu mpaka muwe wengi,akizinguliwa mmoja anakimbilia kambini kuwaita wenzio.sasa mtu kauliza swali la kawaida tu kujua mshahara mnaanza kuleta maneno meengi,wanajeshi wenzenu ughaibuni tunaishi nao freshi tu hata sku moja huwezi kukuta wanamrukisha raia kichurachura.Acheni ubabe wa kizamani.
Umeona eeeeh... ...acheni ubabe MUNGU anawaona
 
Umeona eeeeh...wanajifanya wababe sana wakat ni city vya kawaida SANA. ...acheni ubabe MUNGU anawaona
Hakuna ubabe ila kila kitu kikifanyiwa siasa nadhani nchi itakuwa imefika mwisho.. Hakuna kujitolea kila mtu akipewa nafasi flani lazima aibe kisa tu anawaza maslahi yake. Uzalendo hakuna mtu hata akiona mti umeangukia barabarani hawezi jitolea kuutoa hadi alipwe, tujenge utamaduni wa kupenda kujitolea..
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Kazi ya kulinda nchi ni wito pia usiangalie mshahara ndio ujiunge, watu kama nyie hamfai kuingia jeshini kwani ni rahisi zaidi kuisaliti nchi toka hapa nyambafu ww
 
Back
Top Bottom