Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Kazi ya jeshi lazma uwe mzalendo, hakuna mshahara unaoweza kuzidi uhuru na haki ya kuishi, mwanajeshi ni mtu ambaye uhai wake ameutoa bila kujali gharama, hao vijana wako lazma wajue hilo.
Jibu zuuri saaaana umelijibu ila kwa mwelewa ndo atalielewa...

Na mtoa mada kama ni boy tena straight.... atakuwa ashapata jibu tosha na atakausha ila akiwa kaka voda hawezi elewa.

"HAKUNA MSHAHARA UNAOWEZA KUZIDI UHURI NA HAKI YA KUISHI"

nani yuko tayar kufa kwa niaba ya wengine...

Acheni vyombo vya ulinzi vilipwe vyovyote aisee... its matter of patriotism na sio pesa wala umaarufu
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Mshahara ndio una hamasisha ama uzalendo?
 
Mshahara wa mwanajeshi kuwekwa hadharani una madhara hani katika nchi? nadhani ni uoga na hofu isiyokuwa na msingi, hawa wanajeshi tunaishi nao mtaan ni ndugu na marafiki zetu mishahara yako, posho zao na benefits nyingine kwenye financial institutions tunazijua kwa uwaza tu. Mtu angeuliza mafunzo wanayopitia angalau tungeweza kusema siri ila sio mshahara. Na jeshi sio kujitolea kwa miaka hii ni ajira kama ajira nyingine tu na wanamishahara mizur kuliko kada nyingine kama Polisi, Magareza , waalimu na Afya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nadhani badala ya kubaki unaandika ungeweka wewe huo mshahara kuliko kubwabwaja tu mnakaa na wanajeshi mtaa upi? Au umechanganya na police?
 
Ukifuata mshahara jeshini jeshi litakushinda.
Kumbe wanaokwenda jeshini wanafuata nini kama si maslah ya kuendeleza familia yake,hii ni kazi kama kazi nyengine wacheni kujifanya wazalendo sana, huo sio uzalendo Bali ni upuuzi tu,kabla mtu hajajiunga na taasisi yoyote maslah kwanza, unawezaje kuilinda nchi kizalendo na njaa? Haiwezekani, huyu jamaa ni makini sana ndio maana anauliza ili ikiwa ina maslah ajiunge ikiwa haina atafute kwenye maslah na yy.
 
kwani ameuliza idadi ya vifaru na ndege za jeshi zinazofanya kazi? acha vitisho vyako vya KILEVI...mshahara sio suala la kiusalama...ndio maana huwa inatangazwa hadharani. .. hata magufuli anaitamka hadharani. kama hujui kitu kaaa kimya MLEVI mkubwa.
Sasa kama huo mshahara umetangazwa hadharani si unaujua, kwanini usiuweke hapa mtoa mada akafahamu? Unakuwa kama fenesi tu miba mingi ila ndani tamu
 
haulizi MISHAHARA YA WATU bali anauliza MSHAHARA WAKE atakaolipwa pindi akijiunga jeshi. wewe kinakuuma nini? mijitu mipuuzi kama wewe ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
[emoji28] nimejikuta nafurahi tu.. Bila shaka umezaliwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tatu, mengi hujayajua...
 
Kazi hujapata unaanza kuuliza mshahara kweli wewe hamnazo kabisa sijui ni ulimbukeni? Unajua kuna mtu mpaka leo bado anadhani akiingia kwenye mitandao ya kijamii anajiona kama yuko chumbani kwake na anayoyaandika anayaona yeye tu. Jitu kama hili ni la kukamata lieleze sababu na nia yake kuu ninini.
 
mshahara ndio kitu cha kwanza....kama hujali mshahara ni wewe na familia yako...waache watu waulize maswali...acha vitisho vyako vya kipumbaFU.
Imeandikwa vitabu gani hiyo?
 
Kama una mpango wa kwenda Jeshini , Jiulize haya maswali kwanza;

1. Je niko tayari kufa kwa ajili ya nchi yangu ya TANZANIA?

2.Je, nina uwezo wa kuwa MZALENDO kwa nchi yangu ya TANZANIA?

Kama unazo hizo traits hapo juu...Nenda jeshini;

NB:

Jeshini kule kuna mgao wa MAJUKUMU YA KULINDA NCHI tuu na sio mshahara wala vyeo.


Kama unaweza mshahara kufungua mradi wa kuku utulie kwako..

Transcend( 2017)
 
Watu wana degree,hawana ajira. Wanatafuta nafasi za jeshi desperately baada ya kuona uahueni wao. Mnaleta story za uzalendo. Hata hizo UN missions watu wanaenda wakijua wakirudi si haba.
 
Back
Top Bottom