Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Umetishwa na nani? Do you think jamiiforums is worthier than preserving some norms of each institution? Keep on knowing that jf is merely a social network, never expect to achieve confidential issues as you intended, rather you will receive some tiny drops of opinions related to your doubt or request....

You still having no ideas on this, and I bet you won't ever know, your problem is keeping yourself as special person who have the right of being informed each structure of a respective institution,
Know that you have got some limitations of your rights, on which obedience is a key object, don't think that you're too deserved...

For your such ideas we are slowly leaving behind our defence and intelligence capabilities for the reason of your rights!!!
Naona umeandika kingereza kabisa ili tukuogope eti, upoo?
 
kama taarifa za JESHI ni siri mbona wanajeshi huwa WANAONYESHA VIFARU na KUPASAUA matofali hadharani? unajua maana ya SIRI wewe au unakariri tu? hv huko shuleni mnaenda kusomea ujinga?
Achana na makapurwa hao
 
Hivi ukijua mshahara wa mtu inakusaidia nn? nyie ndio majambazi mnaotaka kujua kipato cha mtu then mfanye yenu. au we ni mmoja wa waanga wa UDOM nenda shule kwanza acha kutafuta vitu visivyokuhusu
 
Unauliza mshahara wa Mwanajeshi wakati unashinda kwenye POOL TABLE l, unafikiri Jeshini kuna short cut ya utajiri kama unapenda pesa fanya kazi kwa bidii
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Kijana kama uko Shinyanga njoo hapa 82 KJ ulizia Major Job nitakupa majibu yote! Lakini uje umejipanga!
 
MSHAHARA ni SIRI YA NCHI? uko vizuri kweli au kichwani mwako kuna tatizo?

Unafahamu maana ya kusema kuwa "uko vizuri au kichwani kuna tatizo?" Jifunze kutumia lugha ya kiungwana au uungwana...hupungukiwi na lolote ukitumia lugha nzuri...ukitumia lugha mbovu unapungukiwa na mengi, moja ni kudharaulika katika jamii...kuandika kwa matusi, kejeli na dharau ni sawa na kutamka maneno ya dharau, kejeli na matusi katika jamii...fikiria mwenyewe ikiwa umezoea kutamka maneno ya dharau, kejeli na matusi katika jamii, watu wanakuchukuliaje? halafu humu ndani ya JF kuna watu wa aina nyingi jkwa umri, elimu, hadhi na kadhalika...Sasa basi kujibu swali lako HIVI UNAFIKIRI NI SAHIHI KUANIKA HADHARANI MISHAHARA YA WANAJESHI, POLISI NA WATUMISHI WENGINE WA VYOMBO VYA DOLA? kAA CHINI NA UTAFAKARI KWA KINA.
 
2, 000, 000/=kwa mwenye degree , 3,400, 000 kwa mwenye masters lakini hii ni mishahara ya mwendo kasi.
 
unataka kujua mshahara ili iwe nini kwako kiwe ndo kigezo cha kwako kujiunga na jeshi au unapeleleza kijanja ujue mshahara wa mmeo au mkeo kuwa anachukua shs ngap? nenda mwenyewe jeshini utapewa data kamili kamuone Rutein Kanari KAHABI NGOME Upanga
Rutein = Luteni
Kanari = Kanali.
 
You don't know your dady exactly.
You were cared by single parent (mother) and your grandma.
You know nobody, but we know you.
Your mother's village is Minazi located at Bukoba rural.
Source: Facebook
exactly you are right, but you have to do an investigation about ma dad, ok? u act like you know me but is the short story dat u know about me, poor my b....
 
Back
Top Bottom