UnatakaHuyu muuliza swali kwa nini haulizi usalama wa taifa wanalipwa shs ngapi mpaka aulize wa mwanajeshi hizo idara za usalama zingime mishahara yao anijua?
kumpangia cha kuuliza? Yeye kataka kujua Habari za wanajeshi wewe unaleta makapi? Jifunze kusoma na kuelewa dogoHuyu muuliza swali kwa nini haulizi usalama wa taifa wanalipwa shs ngapi mpaka aulize wa mwanajeshi hizo idara za usalama zingime mishahara yao anijua?
Dah anajua huwezi kumtaka aulize kila kitu anauliza anachotaka kujua.Mkuu........Huyu muuliza swali kwa nini haulizi usalama wa taifa wanalipwa shs ngapi mpaka aulize wa mwanajeshi hizo idara za usalama zingime mishahara yao anijua?
Kazi ya jeshi lazma uwe mzalendo, hakuna mshahara unaoweza kuzidi uhuru na haki ya kuishi, mwanajeshi ni mtu ambaye uhai wake ameutoa bila kujali gharama, hao vijana wako lazma wajue hilo.Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja.
Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Kifaru hakitumii betri wewe, kinatumia mafuta ya taa.Nenda lugalo pale ukaulize kama hujaambiwa uwashe kifaru bila betri
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Mkuu ukiona mshahara wa mtu unakuwa siri. Basi ujue either ni mdogo sana au ni mkubwa sana. Kiasi kwamba unaweza kuzua taharuki wengine wakijua.Mbona mnapenda kukuzà vitu kwani mshahara una siri gara au ndi nyakara nyeti. mishahara ya nchi zilizoendelea ya wanajeshi kama UK na USA Mbona ipo hadharani kila mtu anajuwa
Kazi ya jeshi lazma uwe mzalendo, hakuna mshahara unaoweza kuzidi uhuru na haki ya kuishi, mwanajeshi ni mtu ambaye uhai wake ameutoa bila kujali gharama, hao vijana wako lazma wajue hilo.
ha ha ha kweli kuna baadhi ya mambo yananifanya niwakubali sana watanzania!!.....its serious, hakuna haja kabisa ya kuweka issue nyeti kama hiyo mitandaoni