Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

MiniActivist

Member
Dec 9, 2011
66
44
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
 
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
 
Safi sana, Mkuu! Nimependa sana jibu hili na liwafikie wote wenye tabia hii ya kuuliza uliza mishahara ya watu/ofisi za serikali.
 
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Yani huyo kijana ambaye anaingia jeshini kufata mishahara hafai kabisa kuwa askari. Hafai kabisa, hawa ndio ambao wanaosaliti nchi kwa kununuliwa,

By the way acha kuuliza mishahara ya watu.
 
Mkuu,unatakiwa kujifunza kuwa jeshi sio kikundi cha wasaidizi Wa kazi za ndani..hii ni taasisi nyingine kabisa ndio maana hata sheria za kazi haziwahusu
Pia jeshi ni taasisi unayoenda kujiunga kwa uzalendo wako na si kuangalia tumbo lako,,hayo mengine ni baadae!!
 
Unataka kujua mshahara ili iwe nini kwako kiwe ndo kigezo cha kwako kujiunga na jeshi au unapeleleza kijanja ujue mshahara wa mmeo au mkeo kuwa anachukua shs ngap? nenda mwenyewe jeshini utapewa data kamili kamuone Rutein Kanari KAHABI NGOME Upanga
 
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Leo. Toka leo
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Kuna watu tuna mawazo hasi tu.
Shukrani upo makini.
 
Sijaona tatizo la mtoa mada, ameomba kujuzwa tu. Mbona hata mshahara wa Rais unajulikana sembuse wa wanajeshi?
hata akiujua utamsaidia nini sasa, mshahara wa Raisi hata ukiujua haukufanyi uvutike kuiomba nafasi hiyo,,,, sasa jeshini ni kada ya kawaida kabisa kama mtu unapenda kujiunga na jeshi wewe nenda kajiunge si basii suala la mshahara utakutana nalo huko huko sio suala letu huna uzalendo wewe maana unatanguliza pesa sana badala ya wito binafsi
 
Back
Top Bottom