Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Yani huyo kijana ambaye anaingia jeshini kufata mishahara hafai kabisa kuwa askari. Hafai kabisa, hawa ndio ambao wanaosaliti nchi kwa kununuliwa,

By the way acha kuuliza mishahara ya watu.[emoji378]
Hii nchi inawatu wa ajabu sana mtu anatumia ID feki afu wewe unataka umjibu mambo ya kiusalama ndio uzalendo huu kweli?
 
Safi sana, Mkuu! Nimependa sana jibu hili na liwafikie wote wenye tabia hii ya kuuliza uliza mishahara ya watu/ofisi za serikali.

Watanzania, na hasa wa upande Fulani was siasa nchini mwetu, wanaona sawa kuanika siri za nchi...Tanzania tuko hatarini kiusalama kwa tabia ya aina hii ambayo imeanza kujengeka nchini...
 
wewe uelewa wako ni mdogo sana. mambo hayo alipaswa aende Makao Makuu ya Jeshi pale Ngome na aulize maswali yake huko. Nasisitiza, kama kuna mtu amemwambia PM na amempa taarifa hizo huko chemba basi ajue kwamba amevunja sheria za nchi na anaweza kufikishwa mahakamani maana hata uki PM utaonwa tu na wenye majukumu yao. taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama hazitolewi katika utaratibu huo. You have been warned.
Acha kutisha watu buana. Mishahara ya wanajeshi sio siri kiasi hicho. Mishahara hii inapitia benki za kawaida simply that a normal tailer anajua mshahara wa Mwanajeshi.


Nimejaribu kupitia comments mbalimbali nimegundua mambo machache.
Kwanza, wanajeshi wanatambo nyingi huku uraiani so hawataki tujue wanapewa kiasi gani.
Pili, kuna watu wanaamini wanajeshi ni miungu ambao hawajadiliwi which is nonsense
Tatu, watu hawajui kuwa jeshi ni ajira.
 
Nani akutumie kwani we nani njoo na jina lako halisi tukujue ndio upewe jibu sio fake ID
Hapa upo sahihi unaweza kuta adui anataka amkadilie askari amnunue vip....so kwanza ajue jamaa anafaidikaje na analopewa na nchi...

Hapa bongo adui anaweza kupata taarifa anazo zitaka kwa urahisi sana, kwenye social media watu wanataka funguka kila kitu kuhusu nchi??
Hii nchi inawatu wa ajabu sana mtu anatumia ID feki afu wewe unataka umjibu mambo ya kiusalama ndio uzalendo huu kweli?
 
Watanzania tuwapuuze watu kama hawa ni maadui wa nchi toka lini mshahara wa idara nyeti kama hii ukaulizwa mitandaoni? Kwa nini asiwaulize hao maeafiki zake waliomuambia aje kuuliza humu?
Hawa ndio maadui wa Tanzania kama unataka kujua nenda kambi yeyote iliyo karibu nawe utapata jibu mujarabu.
Adui wa tanzania ni ccm,kama obama amri jeshi mkuu wa jeshi la marekani mshahara wake unajulikana isitoshe wadogo walio chini yao
 
Unaniita mi mpumbavu? Hujui kujibu hoja bila matusi? Wazoee wenye level zako mkuu kwa heshima mi Siwezi nikabishana na wewe ambaye mambo unayapeleka kienyeji utadhani jeshini ni tempo ya kufundisha, kila Taasisi ina miiko yake, sio kila sehemu utatajiwa mshahara, jeshi hatuiti ajira ni kujitolea kwa uzalendo na kulinda taifa,

Ila naomba tafadhali usirudie tena kunitusi maana hatufahamiani pia hakukuwa na ulazima wa kufanya hivyo, ukikataa kueleweshwa humu nenda ngerengere 92kj uulize malipo, utaeleweshwa na salary slip utaonyeshwa, ni wakarim mno hujapata kuona.
Acha kutishia watu humu. Kama sio kazi na hampewi mshahara sasa salary slip za nini? Unajiona unajua mambo lakini bado saaana.
NB: hapa sio jeshini ni Jamiiforums na kaurimbio yetu ni We Dare to Talk Openly. So usitutisheeeeeeeeeeeee
 
Kati ya taasisi ambazo naona hazina umuhimu duniani ni majeshi maana hayajengi chochote tofauti na kuharibu na kuifanya dunia kuwa sehemu ya hovyo tena la tanzania ndio kabisa bora lifutwe maana hata zana wanatumia technologia za majeshi mengine kama huyo aliyekuuzia ww silaha na technologia ndio adui wako utawezaje kupigana naye
 
Pumbaaavu kabisa!

Nenda Makao makuu ya Jeshi Upanga.....

By the way, jeshini watu hawaendi kwa ajili ya misharaha....

1. No one can pay you by risking your life....! Jeshini hakuna msharaha ila kina Uzalendo na kugawana majukumu ya kulinda nchi full stop.
Iyo zamani sana mkuu chapaa mbele kwanza mengine yanagyat
 
N
Kuna kazi nyingi za kupatia ridhiki mkuu tofauti na jeshi, jeshini utatumia mda wako na nguvu pia maarifa yote ili kufanikisha adhima za kimafunzo na utekelezaji wa majukumu ya kijeshi ambayo hata ukiangalia hayawezi kuthamanishwa kwa malipo ya fedha, jeshini ni kujitoa sadaka ili familia, jamii na taifa liwe katika misingi ya amani na ustawi.
Labda nguvu za kupasua matofali,acha kunichekesha eti maarifa maarifa yapi hayo huku technologia na vifaa vyote ni imported kutoka nje
 
We jamaa chakula nini kazi ya Jeshi ni wito kana unataka mshahara tafuta kazi zingine mbona zipo nyingi tu na mishahara yao minono. We unamjua aliyeuliza ni nani na ana lengo gani sio kila kitu ulete ubishi wa siasa sasa wewe kama unajua sema.
Siasa umeisema wewe. Katika hali ya kidemokrasia kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake. Kama una mtazamo tofauti kuwa huru kuzungumza kwa upande wako.
 
1. Posho ya mbunge.
2. mshahara wa rais.
3. mshahara wa mkurugenz wa NHC...

sasa raia wanataka wajue mshahara wa mwanajeshi....

baadae... TISS, TRA, Mawaziri na Wakurugenzi(tamisemi), mabalozi, wakuu wa mikoa na wilaya...
Sasa hii haitakuwa nchi tena.
 
A
wewe uelewa wako ni mdogo sana. mambo hayo alipaswa aende Makao Makuu ya Jeshi pale Ngome na aulize maswali yake huko. Nasisitiza, kama kuna mtu amemwambia PM na amempa taarifa hizo huko chemba basi ajue kwamba amevunja sheria za nchi na anaweza kufikishwa mahakamani maana hata uki PM utaonwa tu na wenye majukumu yao. taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama hazitolewi katika utaratibu huo. You have been warned.
Acha utani ww taarifa zipi huku hata system na software za kutunza hizo siri zimetengenezwa na nchi zingine sasa hapo kuna usiri gani wa taarifa
 
Kati ya taasisi ambazo naona hazina umuhimu duniani ni majeshi maana hayajengi chochote tofauti na kuharibu na kuifanya dunia kuwa sehemu ya hovyo tena la tanzania ndio kabisa bora lifutwe maana hata zana wanatumia technologia za majeshi mengine kama huyo aliyekuuzia ww silaha na technologia ndio adui wako utawezaje kupigana naye
Pendekezo hili peleka bungeni, litafanyiwa kazi maana taasisi iliundwa kisheria.
 
Back
Top Bottom