Loko gavooWapi huko?
Loko gavooWapi huko?
Kazi hiyo hapo watumishi.Hahaha, watakua na mfumo wao, hebu imagine pepmis imevurugika si watu wengine wataiona! I believe hawahusiki na pepmis
Subiri uoneMkuu umejuaje wakati makato bado?
Degree Ajira mpya wanaza na TGS E Ajira mpyaKada ya HR ni muhimu sana,ila ni kada isiyokuwa na mawe.
Ambao basic ni shngapDegree Ajira mpya wanaza na TGS E Ajira mpya
Nimeamini RasmiSubiri uone
sasa hao maafisa vipenyo watajaza nini kwenye pepmis au wanapimwa kwamba wameua watu wangapi wanaopinga serikali ndo wanapata credit... 😀 😀 😛Wabunge nao wanajaza Pepmis
Au waafisa usalama wa taifa wanajasa Pepmis?
Unyama mwingisasa hao maafisa vipenyo watajaza nini kwenye pepmis au wanapimwa kwamba wameua watu wangapi wanaopinga serikali ndo wanapata credit... 😀 😀 😛
MillionAmbao basic ni shngap
Yani HR analipwa sawia na Eng.Million
HakikaAstagh
Astaghafulilah!!
Ndioo ndioYani HR analipwa sawia na Eng.
Duh mbona ndogo sana, ni wa halmashauri eee 🙄Million
Unajua maana ya siku 30 za mwezi zimeanza kuhesanika lini?Ndiyo shida ya kutegemea salary kwa 100% ,jitahidini muwe na another source of income ,ona hata tarehe 30 haijafikia mshaanza kupiga MAYOWE.
Inasikitisha sana ,sasa mtu kama huyu ukimkabidhi ofisi ya umma si atakuwa MLA RUSHWA tu?
Hapo chini ulimaanisha niniUnajua maana ya siku 30 za mwezi zimeanza kuhesanika lini?
Unajua last month wamelipwa lini?
Wewe ni mtumishi wa serikali kwenye biashara?
Daa mkuu umenichekesha sanaUnga umebaki kwenye kibakuri watulipe tusiabike aiseeeh!!
apa balaa 🔥Pita hapo pork joint uhindini ni noma sana