Kuna HR ananiambia hapa mnavyoneng'eneka kuingia ESS kuangalia makato ya mshahara kila dakika, muwe na spirit hiyo hiyo wakati wa kujaza Pepmis.Makato tayari huko.
Kuna HR ananiambia hapa mnavyoneng'eneka kuingia ESS kuangalia makato ya mshahara kila dakika, muwe na spirit hiyo hiyo wakati wa kujaza Pepmis.Makato tayari huko.
Yap yap. Kesho mapema tu!Makato tayari huko.
HahahahaKuna HR ananiambia hapa mnavyoneng'eneka kuingia ESS kuangalia makato ya mshahara kila dakika, muwe na spirit hiyo hiyo wakati wa kujaza Pepmis.
Ukinywa soda, na mtembea kwa miguu akinywa Hennessy watasema gari umeazimaGari linakusaidia kukupa heshima mjini, hata ukienda mahali kupata huduma ukiwa na gari lako kama Prado TXL au Ford au Land Cruiser 300 watu wanakupa huduma ya kipekee kuliko ukifika hapo unavuja majasho, Viatu vimejaa mavumbi.
Ooh okayI wonder pia
My imagination is very next to reality.
Kesho tena?Yap yap. Kesho mapema tu!
Makato yamepita jioni hii mkuu sioni uwezekano wa pesa Leo!Kesho tena?
Masupavaiza ata hawajaset mitambo. Waweke pesa bwana.Kuna HR ananiambia hapa mnavyoneng'eneka kuingia ESS kuangalia makato ya mshahara kila dakika, muwe na spirit hiyo hiyo wakati wa kujaza Pepmis.
Kumbe sukuma wiki tamu hivi, nimenunua fungu la 500 limenitosha kabisa; shida ni kipimo cha maarifaGari linakusaidia kukupa heshima mjini, hata ukienda mahali kupata huduma ukiwa na gari lako kama Prado TXL au Ford au Land Cruiser 300 watu wanakupa huduma ya kipekee kuliko ukifika hapo unavuja majasho, Viatu vimejaa mavumbi.
Hivi makato ya mshahara unaangalia wap kwenye ESSKuna HR ananiambia hapa mnavyoneng'eneka kuingia ESS kuangalia makato ya mshahara kila dakika, muwe na spirit hiyo hiyo wakati wa kujaza Pepmis.
Mbona wengine wameanza kuweka activities.Masupavaiza ata hawajaset mitambo. Waweke pesa bwana.
E loan au E MkopoHivi makato ya mshahara unaangalia wap kwenye ESS
Kada ya HR ni muhimu sana,ila ni kada isiyokuwa na mawe.Kuna HR ananiambia hapa mnavyoneng'eneka kuingia ESS kuangalia makato ya mshahara kila dakika, muwe na spirit hiyo hiyo wakati wa kujaza Pepmis.
Kada ipi yenye mawe mkuu.Kada ya HR ni muhimu sana,ila ni kada isiyokuwa na mawe.
Million moja laki mbili mshahara saivi mkuu wamepandishaKada ya HR ni muhimu sana,ila ni kada isiyokuwa na mawe.
Kwa hela za pembeni ni ngumuMillion moja laki mbili mshahara saivi mkuu wamepandisha
Kuanzia kesho hatuli chakula cha sungura. Vumilia masta.Kumbe sukuma wiki tamu hivi, nimenunua fungu la 500 limenitosha kabisa; shida ni kipimo cha maarifa
Yeah hapo ni kipengele sanaKwa hela za pembeni ni ngumu