Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkuu sasa mtu anauliza pepmis ni nini kweli huyu ni mwenzetu kweli? Ni kama kanisani mchungaji anasema "fungua biblia tusome Mhubiri 12:3.."

Ananyanyuka mtu anauliza "biblia ni nini?"
Usimlaumu mkuu, itakuwa yupo taasisi
 
Obviously usalama wa taifa hawawezi kujaza pepmis
Wakubwa zao hawahitaji kupima maendeleo ya kazi zao?

Kwa mfano mtu akipewa assignment ya kuteka watu 6 kwa mwezi mmoja.
Anajaza pale Utendaji wake, Week ya kwanza ya mwezi wa 8 nimefanikiwa kuteka watu watatu ambao wameshafikishwa kwenye vyombo husika kwa hatua nyingine
 
Hahaha, watakua na mfumo wao, hebu imagine pepmis imevurugika si watu wengine wataiona! I believe hawahusiki na pepmis
 
Back
Top Bottom