Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Naomba niulize kitu Mimi Niko taasisi ya elimu ya juu hapa dar es salaam na Nina mwaka JE kama nataka kuhama kwenda sehemu kama. Tbs au tmda JE naweza kuruhusiwa au ndo ntaambiwa hadi miaka mitatu
Subiri uthibitishwe kwanza tuanze kumsumbua muajiri wako hadi kieleweke
 
Jibu swali wewe MWEHU unayetegema mshahara badala ya kutafuta chanzo kingine cha pesa ili uache kuulizia mbona mshahara umechelewa.

Ndiyo maana Heche anapambana mitaala ya elimu ibadilishwe tuache kusoma Panzi ana miguu mingapi.
 
Attachments

Pumbavu.

Mazamwamwa kama nyie ndio WAPIGA MIZINGA na OMBA OMBA Maarufu sana MITAANI.

Kaa mbali na mimi.
 
Back
Top Bottom