Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Gari linakusaidia kukupa heshima mjini, hata ukienda mahali kupata huduma ukiwa na gari lako kama Prado TXL au Ford au Land Cruiser 300 watu wanakupa huduma ya kipekee kuliko ukifika hapo unavuja majasho, Viatu vimejaa mavumbi.
Naunga mkono hoja.
Gari ndio kila kitu mjini.
Kuna watu hata kwenye dili ukija kwa mguu hawakubali kufanya deal na wewe
 
Back
Top Bottom