Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Asiyehusika na huu uzi ajitahidi akae kimya asitoe maneno ya shombo, akitoa tu maneno ya shombo lazima nimtukane seriously maana kwenye huu uzi ni kama nyumbani kwetu anakua ametuingilia.. You bera woch your back.
 
Serikali ni kamaa taasisi , nayo pesa haiprint inategemea kutoka kwenye kodi , wahisani , gawio na tozo mbalimbali ..Kuna kipind kama hiki pesa hamna , kule Nest wamefunga hakuna tender , Hazina hawajapeleka pesa kwa taasisi zake , hawa wanaolipwa posho wanaweza wasipewe .

Suala la ajira , basi tambua ni mlolongo mrefu , inawezekana ni mpango wa mwaka jana , ambapo wangeanza na bajeti ya mwaka huu .. Unajua mambo yamevurugika ile oktoba ! pesa hamna kwa mishahara wanaweza kulipa sio huko kwingine , baadhi ya taasisi watapata ila wengine watasubiri .
Tangu lini mishahara ya taasisi inatoka hazina?
Kwanza upo Vote gani
 
Ndiyo shida ya kutegemea salary kwa 100% ,jitahidini muwe na another source of income ,ona hata tarehe 30 haijafikia mshaanza kupiga MAYOWE.

Inasikitisha sana ,sasa mtu kama huyu ukimkabidhi ofisi ya umma si atakuwa MLA RUSHWA tu?
 
Kila ki2 ni tafsir 2 kwani ukilipwa tarh 23 ukaanza mwezi hadi tahr 23 si siku 30 hzo umetumikia unatakiwa kilipwa ujira wako tatzo tumekariri tarh za kwenye kalenda na sio siku zakufanya kazi
 
Ach

Acheni mambo ya kichoko.
Samia ana kosa gani hapo mpaka ahusishwe?
Tarehe ya mshahara ni tarehe 30 ndio maana hata kwenye salary slip huandikwa hivyo. Ingawa Samia hulipa kati ya tarehe 21-23 kila mwezi.
Kama miezi iliyopita alilipa tar 22/23 mwezi huu akalipa tar 30 hiyo itakuwa tar 37 sio 30 tena
 
Kila ki2 ni tafsir 2 kwani ukilipwa tarh 23 ukaanza mwezi hadi tahr 23 si siku 30 hzo umetumikia unatakiwa kilipwa ujira wako tatzo tumekariri tarh za kwenye kalenda na sio siku zakufanya kazi
Mshahara standard ni 28 days calendar ,kutoa mapema ni utashi wa mwajiri ,na ndiyo maana hata ukienda CMA kushitaki kama mshahara umecheleweshewa haujapewa tar 24 watakushangaa ,utashitaki endapo mwezi umepinduka bila kupewa.

Kupewa mshahara mapema ni utashi wa mwajiri na ndiyo maana Christmas kampuni/taasisi/mashirika mengi wanatoa mshahara tar 18 Dec so mwezi wa kwanza hauwalizimishi wakupe tena tar 18 kisa eti ni cycle ya siku 30.
 
Kama hajaelewa atakuwa ni mbuzi
 
Back
Top Bottom