Kalizungumzia sana shape kuliko kutueleza mazingira yapi aliona mkewe mpaka amuhisi hivyo maana mke sio mjinga akupe tuhuma nzito kama hiyo from no whereWe jamaa hujagusa kwl mbn unalipamba sana hilo shape ?
Kalizungumzia sana shape kuliko kutueleza mazingira yapi aliona mkewe mpaka amuhisi hivyo maana mke sio mjinga akupe tuhuma nzito kama hiyo from no whereWe jamaa hujagusa kwl mbn unalipamba sana hilo shape ?
Inategemea na nchi aliyopo kwa muda huko ni saa ngapiKwa nini unapenda kunywa pombe muda wa kazi?kijana heshimu kibarua
Kwani Nini kimesababisha mkewe kukutuhumu unamla mtoto hili swali mbona hatupati majibu yakeNimeonhea nae amenielewa na nilimsisitizia kuchunguza wanae kwa sababu miaka hii hali sio nzur kwa baba,kaka,mjomba. Nk ameelewa na kwa kweli wanaume tukae mbali na watoto wetu wa kike na wamajirani, uaminifu haupo tena
Hili ndio swali jamaa anatakiwa atujibuSasa ipi sababu kusema ww ndo ulimla mara ya kwanza
Kwahiyo mtoto wenu muda wote anakaa ndani?Uzur hana access na nje na amehojiwa upya amekiri hajafanyiwa. Na mamaake ameamini hivyo. Na nimezidi kumshauri kuhakikisha anawachunguza Wanaweka mara kwa mara kuondoa hofu na mashaka ya aina hiyo
Lazima ujue mama hakuna mtu anatoa tuhuma nzito hiyo kwa bahati mbaya inaonesha Kuna mazingira kayaona ndio maana katoa hizo shutuma sema jamaa anatufichaDah ila kuna vitu vinaumiza sana!hali tunayopitia ya kukosa uaminifu kwenye jamii ndio matokeo yake haya tunaishi kwa mashaka sana,imefikia hatua hata mume au kaka akibeba mtoto wako akaenda nae dukani huku nyuma tunakaa roho juu....
Jamaa anatupa tabu sana kumuelewa anamuelezeaje mtoto wake kiasi hicho? Na kwanini anashindwa kutuelezea kwanini mkewe amtuhumu shutuma hizo nzito from no whereWewe maungo ya mtoto kubwa makubwa kama mama yake umeyonaje na ukathibitisha
Kashamla huwezi kuelezea maungo ya mwanamke kama haujamlaJamaa anatupa tabu sana kumuelewa anamuelezeaje mtoto wake kiasi hicho? Na kwanini anashindwa kutuelezea kwanini mkewe amtuhumu shutuma hizo nzito from no where
😅Naona Kama jamaa anatuficha kiaina haiwezekani mke wako atoe tuhuma nzito kama hiyo from no where tu lazima kuwe na mazingira kayaona ndio maana kaongea hivyo jamaa anapaswa atuambie Nini kimepelekea mkewe kuhumtumu yeye kaongea kisimple simple tu Sasa sisi tunamsaidiaje bila kufunguka kwa kina
Don't judge bro...Nakusisitizia tena Don't judge hii dunia kuna tuhuma za aibu zinaweza kukupata ukabaki umeshangaa wewe mwenyewe....Lazima ujue mama hakuna mtu anatoa tuhuma nzito hiyo kwa bahati mbaya inaonesha Kuna mazingira kayaona ndio maana katoa hizo shutuma sema jamaa anatuficha
Mkuu acha tu. Kuna wakati watoto wakija nyumbani kwangu nawafukuza kuhofia kushutumiwa. Nimeona Bora nionekane mbaya kuliko kufedheheka, unakuta hata kwenye misiba unaona aibu kuhudhuria.Story of my life.😭😭
Kuna kitu watu wananihisi ktk jamii yangu na sina jinsi yakujitetea.🙁
Kuna point nilitamani kujiua.
Kama sio team ya wenye hekima kunipa miongozo kuna kabiashara kangu kangekufa kwa hizo tuhuma.
Mtoa mada asipotumia hekima heshima yake yote itapotea.
Ukute mkewe kuna watu keshaanza kuwaeleza hilo jambo
😄 😄 uyu kaichapa sema itakua sio mara nyingi sanaKalizungumzia sana shape kuliko kutueleza mazingira yapi aliona mkewe mpaka amuhisi hivyo maana mke sio mjinga akupe tuhuma nzito kama hiyo from no where
Wewe umejuaje mwanao kama ameumuka kama mama yake, na anakila kitu kama mama yake mpaka maungo makubwa kama mama yake...Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.
Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo makubwa Sasa mtoto amerithi kila kitu.
Pamoja na hivyo imekuaje mkewe ampe shutuma nzito kama hiyo from no where tu?Tatizo wazazi wa siku hizi mnapenda sana kuwabebisha watoto...zamani mtoto kukukaribia afanye kazi ila siku hizi uzungu umewaharibu mtoto anavaa vimini mbele ya mzazi na mzazi anachukulia poa
unapenda mambo ya kukojolewa mamaHebu amka usije ukajikojolea
Hapo ndipo tuna maswali juu ya mtoa mada yanapokuja na lingine kwanini mkewe amtuhumu shutuma hizo nzito from no whereWewe umejuaje mwanao kama ameumuka kama mama yake, na anakila kitu kama mama yake mpaka maungo makubwa kama mama yake...
Unasikitisha sana...
Cc: Mahondaw