una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkia wa samaki Taa(Stingray) una maajabu gani?

  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mtu huru una enjoy Life. Ghafla unaambiwa umeteuliwa kuwa Ayatollah Iran. Unaoneshwa mashimo ya kuishi

    Hii Dunia haipo fair kabisa. Imagine ulikuwa na uwezo wa kutembea popote upendapo. Kwenda beach, porini, shambani n.k ulikuwa unaweza kaa na watoto wako na wakezo mka enjoy Anatokea mbwa mmoja kwa wivu na chuki zake anapendekeza unakuwa Hayatollah. Hapo hapo maisha yanabadilika. Unaanza...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi unalipishwa ushuru wa kuingia ndani

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi? Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa pesa una uma🥲

    Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔 Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅 Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊 Akaenda...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ulimi wa Humphrey Polepole una upanga?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1. Wicknell...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umasikini una mahusiano gani na uchafu ?

    Kwa nini masikini wengi ni wachafu sana ? Kwa nini makazi ya masikini huwa machafu sana ? Sehemu wanazokula masikini ni chafu, usafiri unaoutumika na masikini uchafu hutamalaki, vyoo vinavyotumiwa na masikini huwa vichafu sana. Inawezekana kuwa masikini lakini ukawa msafi na kuishi mazingira...
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balile: Mwandishi unasema una hofu, hofu ya nini? Mtaua uandishi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa. Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
  13. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Una ndugu anasumbuliwa na ulevi / uraibu? Kivulini Sober House ni suluhu. (Picha)

    Kivulini Rehabilitation & Sober House ni taasisi iliyosajiliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi. Tumekuwa tukiwasaidia waraibu wa pombe, bangi na madawa mengine ya kulevya kuondokana na uraibu unaowasumbua ikiwemo pia hivi karibuni tuna program maalum ya waraibu wa kamari. Unaweza...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

    kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k. YANGU: UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE . UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi wa serikali Idara kadhaa hivi karibuni: Utawala wa serikali kuu una matatizo.

    Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni. Vifo ninavyokumbuka: 1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7 2. Askari polisi 5 na mahabusu 7 kufariki ajali gari la polisi 3. Gari Mkuu wa wilaya kukaidi amri ya kusubiri Inyala, Mbeya na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Una mshikaji wako ambaye nusura aingizwe chaka na 'fursa' za mtandaoni?

    Wakuu Kuna huyo jamaa yangu yeye huwa anapenda kitonga '😂kuna siku akatumiwa link na mtu huko Whatsapp akiambiwa akitaka kupata bando abovye hiyo link kilichofuata hapo ni huzuni akaunti zake zikadukuliwa. Kwa sasa zile akaunti zake za mitandao ya kijamii ikiwemo facebook zinanitumia text...
  19. Yofav

    JamiiForums Tanzania Huu uzi unafunza📌

    Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani. Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo clear, hajui anaelekea wapi au kama anachokifanya kina maana. Mwingine anaona ameshachelewa...
Back
Top Bottom