Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,710
- 54,583
Wewe ni mtu hatari sana kwenye jamii.Kama angekuwa anamuonea wivu mtoto wake si wameishi muda mrefu pamoja na huyo mtoto wao kwanini hizo tuhuma hajapewa vipindi vya nyuma kwanini kipindi hichi?
Wewe ni mtu hatari sana kwenye jamii.Kama angekuwa anamuonea wivu mtoto wake si wameishi muda mrefu pamoja na huyo mtoto wao kwanini hizo tuhuma hajapewa vipindi vya nyuma kwanini kipindi hichi?
Uko vizuri tu mzee. Mleta mada tu ndio amezingua.Nin) kwamba nimezeeka sana uwezo wa kusoma na kuelewa haraka unashuka!!
Kwani tako lajificha mbona pasi zaonekana bila tochi 😂😂Wewe umejuaje mwanao kama ameumuka kama mama yake, na anakila kitu kama mama yake mpaka maungo makubwa kama mama yake...
Unasikitisha sana...
Cc: Mahondaw
Uko sahihi kabisa mkuu,mi nshawahi fukuzwa kazi kwa kosa la kusingiziwa,sikuwahi fanya kosa hilo,cha kuumiza zaidi almost my fellow staff members walifurahi kufukuzwa kwangu,hilo jambo limeniathiri sana mpaka leo sipendi kuajiriwa sehemu kuliko na watu wengi,angalau tuwe wawili au watatu tu,Ningekuwa na mtaji ningejiajiri .Ngoja siku limfike jambo zito ndipo atakumbuka kwamba duniani unaweza singiziwa jambo ambalo hujafanya...Huyu hajui kuna watu hadi wameshanyongwa ndio ukweli unakuja julikana mtuhumiwa was innocent!
1. Hakikisha unamfikisha mkeo nchi ya ahadi (peak) walau ×3/wikiHabarini wakubwa ninawasalimia.
Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.
Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo makubwa Sasa mtoto amerithi kila kitu.
Mke wangu anahisi natoka na mtoto wangu. Sio kweli. Msaada jamani
Hakuna sehemu nimehitimisha kuwa kafanya ila nimeuliza maswali kuhusu hiyo situation yake huwezi kumshauri mtu bila kujua mazingira yakeKwa hiyo unadhani huyu mpaka kaja kuomba ushauri yeye ni kichaa?huna utashi wa kujiuliza kwa nini kaleta hili jambo hapa?kama angekuwa anafanya hayo mambo kweli angekaa zake kimya ni dhahiri hili jambo limemtatiza usipende kufanya conclusion kwenye mambo ambayo hukuwepo!sisi wakristo tuna amri inatukataza kabisa kushuhudia uongo.."USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO"..yaani mtu kama wewe unaweza fanya binadamu mwenzio anyongwe
Laana hiziHabarini wakubwa ninawasalimia.
Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.
Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo makubwa Sasa mtoto amerithi kila kitu.
Mke wangu anahisi natoka na mtoto wangu. Sio kweli. Msaada jamani
Wewe nawe ni Kizibo kweli na. akili inaonekana ina ujinga mwingiLaana hizi
Yaani baba utamuongeleaje mtoto sexually namna hii?
Takataka kabisa wewe!
Laana.....Ptuuuu mbakaaa kabisa!
Wewe nae ni kizibo kweli, yani forum kama hii mtu afanye jinai kama hio halafu aje kujifanya hajafanya na kutafuta ushauri unadhani guilty inaweza ikakuruhusu ufanye kitu kama hicho? !!Huwezi kutuhumiwa bila sababu ingekuwa mkewe ana tatizo la akili jamaa angesema kwenye mada yake ndio maana akamtaja mtoto wake ndio ana Hilo tatizo kwahiyo unataka tukuamini wewe kuliko maelezo ya mtoa mada? Kwani mkuu wangapi Wana familia tena wanaishi chumba kimoja na mtoto wao wa kike na hawajawahi kukutana na hizo tuhuma? Kwanini iwe yeye? Na kwanini kaambiwa kipindi hiki na sio vipindi vya nyuma wakati wameishi muda mrefu? Hivi unawachukulia wanawake ni wajinga wasio na akili mpaka wakuambie hivyo
kichaa weweWewe nawe ni Kizibo kweli na. akili inaonekana ina ujinga mwingi
Laana gani sasa wakati mtu anatafuta ushauri kwa kusingiziwa jambo ambalo hajalifanya! Sasa ulitaka aliwasilishe vipi ili aeleweke na apate ushauri!!
Aya tuambie uyo jamaa mke na mtoto unawafaham?
kumfananisha mwanao na mkeo (kila kitu) hapo tuu mashaka tayari......kula tuu si wako....ngoja inase ndio uje hapa upya.Asante
Alafu wanataka tumuamini mtoa mada? yaani wanaleta past zao experience walizokutana nazo za kusingiziwa kwenye hoja ya mtoa mada bila kupima uwasilishaji wake ukojekichaa wewe
mtu anamuongelea mtoto too sexually namna hiyo ni mtu ana akili salama kweli?
eti mtoto ana umbo hili,kiuno hiki,shepu hili,mara lile....mtu mzima unamuongelea your own child sexually graphic namna hii halafu wewe unaona ni sawa mpaka unaita wakosoaji "vizibo"?
molesters wakubwa nyie.....lugha ya staha kwa mtoto huna?
yaani unaongelea mtoto wako kama lidemu hivi la kutomba tu,shenzi wahedi nyie molesters
Kama sio kweli hakuna haja ya kujistress, usibishane nae. Vinginevyo kama mambo ya uchumi yako vibaya lazima atautumia kama mwanya wa kukupelekea moto na mpaka ukome. Ikiwezekan hama nyumba kwa muda.Habarini wakubwa ninawasalimia.
Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.
Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo makubwa Sasa mtoto amerithi kila kitu.
Mke wangu anahisi natoka na mtoto wangu. Sio kweli. Msaada jamani
Kesi imefika Kwa mjumbe kama bado chukua tahadhari ya kupiga magote maana kifuatacho n kuhaibika hapoHabarini wakubwa ninawasalimia.