Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,710
- 54,582
Kwa nini unapenda kunywa pombe muda wa kazi?kijana heshimu kibarua
Kwa nini unapenda kunywa pombe muda wa kazi?kijana heshimu kibarua
Ni ngumu sana mtoto kuingia chumbani kwa wazazi labda kama umepanga, machizi wanakuwaga na life la kukariri daily routine zao utawakuta kila siku sehem zilezileHizo ni hasara za kukaa na mtoto chizi nyumbani sio issue ya nyumba kuwa kubwa.....
Kama mtu akiomba ushauri ni kutokujitambua basi una tatizo wewe, na je kama mtu hajitambu afaa kufahamishwa au kubezwa kwa maneno mabaya na kejeli? Asiyejitambua ni nani hapo sasaWe chizi Nini Toka umejiunga JF umeona lini mada Kama hizi ukasaidiwa kweli?
Hapo aliyepost ndo mwenye stress me namuongezea stress kwakua hajitambui
Ni mtihani mkubwaDaah pole sana mkuu
Mkuu unaweza mbali, kikubwa umetambua watu wengi tuna tatizo afya ya akili. Binafsi nimeona naongeza tatizo katika mazingira ya nyumbani kwangu. Yaani nimemuelewesha wife akanielewa.leo.anaona aibu yeye. Nikifadhaika.sana.Kama mtu akiomba ushauri ni kutokujitambua basi una tatizo wewe, na je kama mtu hajitambu afaa kufahamishwa au kubezwa kwa maneno mabaya na kejeli? Asiyejitambua ni nani hapo sasa
Nimeonhea nae amenielewa na nilimsisitizia kuchunguza wanae kwa sababu miaka hii hali sio nzur kwa baba,kaka,mjomba. Nk ameelewa na kwa kweli wanaume tukae mbali na watoto wetu wa kike na wamajirani, uaminifu haupo tenaPole sana,kama sio kweli ongea na mkeo vizuri ataelewa
Uzur hana access na nje na amehojiwa upya amekiri hajafanyiwa. Na mamaake ameamini hivyo. Na nimezidi kumshauri kuhakikisha anawachunguza Wanaweka mara kwa mara kuondoa hofu na mashaka ya aina hiyoKama ametumika nje je?
Nimeshafanya mkuu asante, amenielewa na kwa kuwa sina tabia hizi za kishenzi, nilimhoji kuwa sina historia ya uzinzi na anajua hivyo. Na kwa kweli niwashaur wanaume wenzangu kukaa mbali na watoto wetu wa kike na WA majirani piaKwa upole na hekima endelea kumsistizia mkeo kwamba hujafanya hicho kitendo. Kama kweli huna hatia hupaswi kuwa na wasiwasi.
Sasa ipi sababu kusema ww ndo ulimla mara ya kwanzaUzur hana access na nje na amehojiwa upya amekiri hajafanyiwa. Na mamaake ameamini hivyo. Na nimezidi kumshauri kuhakikisha anawachunguza Wanaweka mara kwa mara kuondoa hofu na mashaka ya aina hiyo
Nilikuwa nakusomea maana hukuelewa, 😆 basi ushauri tusubiri wakongwe wajeHizo tuhuma ni nzito sana Chica, naanzaje kutoa ushauri hapo!!
Dah ila kuna vitu vinaumiza sana!hali tunayopitia ya kukosa uaminifu kwenye jamii ndio matokeo yake haya tunaishi kwa mashaka sana,imefikia hatua hata mume au kaka akibeba mtoto wako akaenda nae dukani huku nyuma tunakaa roho juu....Nimeshafanya mkuu asante, amenielewa na kwa kuwa sina tabia hizi za kishenzi, nilimhoji kuwa sina historia ya uzinzi na anajua hivyo. Na kwa kweli niwashaur wanaume wenzangu kukaa mbali na watoto wetu wa kike na WA majirani pia
Kabla sijakushauri ningependa nikuulize swali Kwanza kama ujafanya hicho kitu na Binti yako Nini kimepelekea mke wako ahisi kuwa unatembea na mtoto wako?Habarini wakubwa ninawasalimia.
Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.
Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo makubwa Sasa mtoto amerithi kila kitu.
Mke wangu anahisi natoka na mtoto wangu. Sio kweli. Msaada jamani
Hata Mimi Nina swali kama lako haiwezekani from no where Mke wako ahisi unatembea na mtoto Wanawake sio wajinga hii ni tuhuma nzito sana jamaa anapaswa afunge aelezee vizuri kwanini Mke wake ahisi anatembea na mtoto sema jamaa kaelezea kifupi sana bila kutupa picha halisi ikoje? Ili tujue tunamsaidiajestory yako umeikata vipande vipande, hujaelezea ilikuwaje mpaka mke wako akaanza kuhisi hivyo. na kwanini aanze kuhisi leo na siyo huko nyuma, badala yake umejikita kumsifia mwanao alivyoumbika. kwa namna unavyojitetea ni dhahiri mkuu umelamba sukari
Kwa nilichogundua,
Mtoto amerithi umbo la mama, pia
Mtoto amerithi akili za baba
Duuh,nenda nae Kwa watu wa dini yenu, ikishindikana peleka Kwa Dr waafya ya Akili!Habarini wakubwa ninawasalimia.
Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake.
Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo makubwa Sasa mtoto amerithi kila kitu.
Mke wangu anahisi natoka na mtoto wangu. Sio kweli. Msaada jamani
Naona Kama jamaa anatuficha kiaina haiwezekani mke wako atoe tuhuma nzito kama hiyo from no where tu lazima kuwe na mazingira kayaona ndio maana kaongea hivyo jamaa anapaswa atuambie Nini kimepelekea mkewe kuhumtumu yeye kaongea kisimple simple tu Sasa sisi tunamsaidiaje bila kufunguka kwa kinaKwanza pole sana kwa yaliyokukuta.
Umesema mtoto ana tatizo la Afya ya akili.
Hujasema mtoto ana umri Gani?
Anasoma?
Ilikuaje mkaanza kumuuliza maswali ya kuhusu kufanya mapenzi bila chanzo chochote kile.
Huko chumbani kwenu wazazi inakuaje mnafanya mapenzi bila kufunga mlango?
Na wewe baba kwa nini umekuwa mshukiwa namba Moja kama hujawai kumfanyia chochote huyo mtoto?