antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,895
- 121,044
Kwa hiyo cdm wakiwapa tenda wataenda kuwandishia bendera??Wale wafungwa NI wafanyakazi wa magereza....na tenda walipewa magereza.....
Mbona hushangai SUMA JKT kupewa tenda za ulinzi makao makuu ya CCM?!!!