Unaijua sheria ya utumishi wa umma juu ya siasa?

#YNWA
Kuvaa nguo na kuwa mwanasiasa ni vitu tofauti. Yeye kama mlinzi wa karibu na Rais anatakiwa pia awe na camouflage nzuri nzuri. Sehemu ya camouflage ni pamoja na mavazi. Kuna walinzi wengine ambao watakuwa wamejichanganya na wajumbe wakiwa nao wamevalia vivyo hivyo ili kuficha identities zao; hiyo haiwafanyi kuwa wanasiasa.
 
Wewe toa ujinga wako hapa. Tunaongelea walinzi wa Rais sio CCM. Sasa hao walinzi wameingia darasani na wamesoma mbinu mbalimbali za ulinzi. Je, kama katika mitaala yao kuna hiyo ya kuvaa kuendana na tukio husika ili iwe ngumu kujua Nani ni Nani?
sasa mbona kilaza wewe umejua?
 
Majibu ya kibavicha huwa ni povu tu siku zote
Ingekua ccm inapora kura lowassa asingepata kura milioni 6
Ccm haiwezi kutoka kwa kutumia wasanii kama mbowe au Tundu lissu
Tunamuomba marehemu baba AKO aje aitoe CCM madarakani
 
CCM ndio habari ya Mjini Sasa hivi Chadema wanachkua mifomu ya uraisi nobody cares

Macho na masikio nchi nzima ukiwemo Upinzani yako CCM tu habari ya mjini
Umeongea kama yule shoga aliyepigwa Zanzibar kisa kugombea urais CCM
 
Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?

Umemjibu Kimantiki, Kitija na Kiuweledi kabisa Ndugu na nadhani baada tu ya Wewe kutoa Dini lako hili Zuri basi na Uzi nao ungefungwa rasmi tu.
 
Huyu jamaa anashindwa uchaguze mapema sana kwa kusema umeleta maendeleo kwa madaraja ya photoshoot
 
Walinzi wanavaa kuendana na mazingira na Mahali husika.
Kwamba unataka watu wa TISS wavae sare Za TISS au sare zao ni zipi.
Kwamba TAKUKURU wakiingia vikao vya vyama wavae nguo tofauti na za Chama na polisi upelelezi wavaaje..
Sidhani Kama nihoja yeye mlinzi hana chama ila anavaa kuendana na mazingira
Takukuru ni mlinzi wa nani?

ficha ujinga wako mkuu
 
Nilichogundua Vijana wengi wa CCM siku wameshindwa kujibu hoja, ila wameuvaa ufalme ka wa Mwenyekiti wao, angalia majibu yao kwenye hili swala la Walinzi kuvaa nguo za chama. Wanatumia nguvu na ubabe ili ionekane kua hakuna kosa.
subiri uchaguzi. madaraja yao ya photoshoot tuna wazoom tu
 
Mkuu tunqongelea ishu ya kichama! Walikuwa kwenye shughuli ya kichama! Akaitoka hapo kuja kwenye shughuli za kitaifa hutaona amevaa hizo nguo
Unajitoa akili bila sababu...Jeshi la Wananchi ni Chama cha Mapinduzi?
Au kwakua CDF ni Msukuma na mwanaccm basi unaona ni sahihi.
Sheria ya vyama vya Siasa imekataza vyama vya Siasa kutumia vyombo vya ulinzi na dola kufanya shughuri za kisiasa kumbuka.
 
Ulitaka avae sare za chadema au Cuf, au yale magwanda ya kijeshi, Kaunda suti kwenye kikao Cha chama cha CCM,
Hizo ni code za mavazi na ilitakiwa wavae hivyo kama wao waliona kuna tija kukamilisha Jukumu lao la ulinzi .

Swala la ulinzi ni kubwa na ni Pana sana kwamba hapo alikuwa anamlinda Raisi ambae pia ni Mwenyekiti wa chama.

Ata mbowe,Seif, dovutwa, siku mmoja wapo akiwa Raisi siku akienda kwenye kikao cha chama basi walinzi nao watapaswa kuvaa kichama kama wataona kuna tija ya kufanya hivyo ili tu kumuweka salama mlindwaji na wao kutokutambulika kirahisi.


Ukitaka isiwe hivyo basi Vinginevyo Katiba itamke Rasmi kwamba Rais wa JMT hatakiwi kuwa kiongozi wa chama cha siasa abakie kuwa ni mwanachama tu na kiongozi wa Taifa.
Nenda kachakatwe kijambio uko
 
Serikali ni nini? Nani ni kiongozi wa serikali hiyo kwa sasa? Anatoka chama gani? Serikali iliyochini ya chama kipi ilinunua hayo magari unayoyaita ya serikali?
#Toa hoja substance bhanaa
Kumbe na mahakama ni CCM?
Kwanini tunasomea ujinga lakini...
 
Back
Top Bottom