Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Hii mpya, mlinzi yule yuko pale kumlinda Raisi wa Tanzania hata kama pia ni mwenyekiti wa CCM. Anaelindwa ni Raisi na mlinzi yule anatakiwa awe kwenye magwanda yake ya mlinzi wa Raisi ambayo tunayafahamu, hizo nyingine ni mbwembwe za kishamba tu.
Ni yapi hayo magwanda ya mlinzi wa rais unayoyaongelea.
Kwamba wanauniform huwa wanavaa kila Siku?
 
Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
View attachment 1502844
Hamn aissue hapa; kama watu wote wamevaa ngu za CCM inabidi naye awe kama wao ili asitofautiane nao. Akijitofautisha anaweza kuwa target ya kukwepwa na wenye nia mbaya. Kumbuka yeye ndiye mlinzi wa rais , yule mwanajeshi ni mpambe wa rais siyo mlinzi wake.
 
Lengo la Ulinzi ni nini? Utajuaje kama hayo mavazi waliyovaa iliwalazimu kufanya hivyo ili kujiweka sawa na wengine ili wao wasitambulike kirahisi waweze kufanya kazi yao kwa uhuru na umakini
Mbona uraiani wakiwa wanamlinda raisi wanavaa magwanda , Broo huelewi chochote kuhusu katiba ya jamuhuri , ni vyema tu ungendelea na post zako za uzinzi tu
 
Mbona uraiani wakiwa wanamlinda raisi wanavaa magwanda , Broo huelewi chochote kuhusu katiba ya jamuhuri , ni vyema tu ungendelea na post zako za uzinzi tu
Kwa hiyo wewe unafikiri hizo sheria za watumishi wa Umma zinaaply kila sehemu?

Unadhani maundercover wanaopenyezwa mpaka kwenye Vyama vya siasa wanavaa sare mpaka kumiliki kadi za vyama ili kutafuta taarifa na kuzifikisha serikarini sio wafanyakazi wa umma?

SHERIA ZINAZOKUBANA WEWE SIYO KILA MTU ZITAMBANA HIVYO HIVYO inategemea wakati,Mazingira na umuhimu wa kitu kwa wakati husika.

KATIBA ni Muongozo na ndio maana kuna kanuni.
 
Mtu mwenyewe umeshajiita zeroIQ , kuna nn tena hutaki hata kusoma katiba ya Tanzania kuhusu utumishi wa umma, ieleweke kua mlinzi Wa raisi anatambulika kisheria .
 
Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
View attachment 1502844

Hii kitu haikubaliki hata kidogo.
Tukisema CCM wamejimilikisha nji hii kwa kunafanya wanavotaka. Ndo maana hawataki kusikia Habari ya KATIBA MPYA wala TUME HURU YA UCHAGUZI....!!
Shame on Rais Magufuli and his fake CCM...!!!!!
 
Mtu mwenyewe umeshajiita zeroIQ , kuna nn tena hutaki hata kusoma katiba ya Tanzania kuhusu utumishi wa umma, ieleweke kua mlinzi Wa raisi anatambulika kisheria .

Ok. Katiba inasemeje kuhusu mlinzi wa Rais kuvaa mavazi ya Chama husika? Katiba inazuia WATUMISHI WA UMMA KUJIHUSISHA NA SIASA...!!Unalijua Hilo?
 
Ok. Katiba inasemeje kuhusu mlinzi wa Rais kuvaa mavazi ya Chama husika? Katiba inazuia WATUMISHI WA UMMA KUJIHUSISHA NA SIASA...!!Unalijua Hilo?
Kwani mlinzi wa raisi sio mtumishi Wa umma? Nadhani jibu unalo
 
Mtu mwenyewe umeshajiita zeroIQ , kuna nn tena hutaki hata kusoma katiba ya Tanzania kuhusu utumishi wa umma, ieleweke kua mlinzi Wa raisi anatambulika kisheria .
Acha bla bla zako kwani hao undercover hawatambuliki kama ni watumishi wa UMMA?
 
Kwahiyo sheria za nchi ni DOUBLE STANDARD?

#YNWA
Siyo Double Standard(ila kwa kauli nyingine unaweza kusema hivyo),

Ndio maana Raisi wa JMT hashitakiwi kwa jambo lolote alilolitenda akiwa madarakani ata akitaka uchapwe Risasi hadharani hiyo itatafsiriwa kwamba alifanya hivyo kwa manufaa ya Nchi ata kama alifanya hayo kwa matakwa yake binafsi.
 
Bla bla zipi mkuu, mtumishi wa umma haruhusiwi kujihusisha na siasa kisheria , ndio nakwambia nenda kasome katiba ya Nchi yako
Nipe tafsiri ya kujihusisha na Siasa(kama hana kadi ya chama utasemaje ni mwanasiasa? Kama hujawahi kumuona akihutubia kwenye jukwaa la siasa, kuhudhuria vikao kama mjumbe mwanasiasa utasemaje anajihusisha na siasa.)

Kuvaa mavazi ambayo mazingira ya kazi husika yalimlazimu kufanya hivyo ili kutimiza kazi yake vyema utasemaje ni kosa?
 
Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Basically sheria haziruhusu taasis yoyote inauohusika na usalama kufangamana na chama chochote kile. Au upande wowote wa siasa.
Hata kama ni professional.. hii ni missconduct na poor approach.
 
Back
Top Bottom