Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Ndoa ni taasisi, watu wanajengana humo humo, kila taasisi ila "organization behaviour". Utafurahia tuu, kikubwa jamaa awe mtu mwema. 😁
Jamaa gani sasa 🤣
Halafu nimeshindwa kujijua kama mimi nipo kundi gani la wenye sura nzuri shape au tabia mbaya
Heheheh
 
Mkuu, usioe mke ambae kila mtu anamtamani ni mtego, mimi nakumbuka sista angu alikuwa mzuri sana enzi akiwa anavunja ungo. Form three, pale home palikuwa watu wanapishana, yaani ilikuwa vurumai pale. Nakumbuka mshua aliwahi sema, kinachomponza tembo ni pembe zake.
Kweli haikupita muda, sista walimpiga mimba!
Nilikuwa nikiongozana na sista yangu sokoni, ni kero, hatufiki, kila huyu anataka msemesha, miruzi, mwingine anakuja na gari, pandeni twende!

Kwa hiyo bwashee, ukioa mwanamke mzuri sana, miruzi inakuwa kibao, sio salama sana kindoa hasa ukiwa una unga unga life! Watakupigia tuu wenye saundi kali.
Sikio la mwanamke limeumbwa kusikia vitu vizuri, akisikia vitu ambavyo wewe huna anakuwa njia panda.
kabsa bwashee mwanamke wa maonesho kwa ndugu na marafk hafai kuoa, ni stress.
Na kizaz chako unakua umekiharibu.
Mim huwa namwonea huruma mwanangu kulelewa tofaut, atakuwa kama mtoto wa nje
 
kabsa bwashee mwanamke wa maonesho kwa ndugu na marafk hafai kuoa, ni stress.
Na kizaz chako unakua umekiharibu.
Mim huwa namwonea huruma mwanangu kulelewa tofaut, atakuwa kama mtoto wa nje

Ishu ya mtoto, usiache kuweka ukaribu na mtoto, mtoto ukimhudumia na kumpenda atajua kuwa wewe ni baba, hata kama yupo kwa mama yake.
Kuwa nae karibu, hakikisha anapata mahitaji yote muhimu na upendo wako.
Akifika legal age, unamchukua.
 
Back
Top Bottom