Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,057
kesi ikiwa ngumu si anakimbia nduki uyo !Unataka kijana afungwe kaka
kesi ikiwa ngumu si anakimbia nduki uyo !Unataka kijana afungwe kaka
Akili mingi unajichagulia et🤣mapambano yote mpaka apatikane mshindi, tunaanza hilo la pili kwanza😎
Kaandika nini😂hahahaaaaa! nliona kaandika ameacha bcoz of u!
Wewe mwenyewe umesema huwezi kupigana na wanawake! Tena unipigie nini🤣 nakulaza polisi😝Kujishusha uongo ni either unipige au nikupige
Ah wapi😀Ila naamini baada ya hapo tutaheshimiana 😁
Mbibi pro🤣
Hapo nimesema mwanaume Mwenzangu tunayetoshana nguvu 😂Wewe mwenyewe umesema huwezi kupigana na wanawake! Tena unipigie nini🤣 nakulaza polisi😝
Ah wapi😀
Kwa kosa gani?Huyo si mshangazi nitapelekwa kwenye dawati la jinsia 😂😂😂
Broo tuoe sasa tunazeeka🤣🤣Brooooo!
😂
aliandk kaacha kujichukulia sheria mkononi !Kaandika nini
Hawezi kuacha huyo!aliandk kaacha kujichukulia sheria mkononi !
Hiko ti ndo tunaangalia mengine badae kwanza 😂😂