Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,715
- 86,331
Wake wanne ni zaidi ya mchepukoAise katika kitu ambacho sitaki kuwa nacho maishani, ni M/MICHEPUKO.
Wake wanne ni zaidi ya mchepukoAise katika kitu ambacho sitaki kuwa nacho maishani, ni M/MICHEPUKO.
Hapo ndio kasheshe! Kwani hiyo pisi akibaki nayo inakuwaje?
Moyo wangu unasema ninyi ni furaha yangu.Yani we mtoto unajichagulia tu mishangazi kama uko mnadani
Yani we mtoto unajichagulia tu mishangazi kama uko mnadani😆
Ndio awe mke mpaka wapo wote means wanaelewana!Kubaki nayo kivipi?
Hehehe na sisi tunasema pesa zako ni furaha yetu! Fanya jambo hapo☺Moyo wangu unasema ninyi ni furaha yangu.
Basi achukue huyo mi nishajizeekea zangu😅ShesRise_1, sio mshangazi, bado binti mdogo. 😊
Ndio awe mke mpaka wapo wote means wanaelewana!
Nitaoa sura, tabia tutatumia zangu.Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?
Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?
Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya?
Zingatia neno TABIA MBAYA!View attachment 3584537
Kweli kabisa, kana miaka 19 haka kabinti. Hata huyu seran bado mbichi, ila msumbufu tu.ShesRise_1, sio mshangazi, bado binti mdogo.
Mim natamani nimpate bint mweny heshima/good manner
Sura ya kati tu asiwe mzuri sana, na awe maji ya kunde
Na nyashi iwe imebalance kidogo ili dog style niwe naiona dunia yote.
Wazuri sana hapana, kwakwel naushuhuda nao
Hapa umetisha mkuu, binafsi nachukua mwenye tabia nzuriKanuni ni ile ile; Oa mke mwema weka ndani, nyama nyama zinabakia kuwa ni "Spea tairi".
Mke ni "software" sio "hardware". Unakuta mkali, kaoa mke kawaida sana, ila ana pisi kali mtaani ya kuzugia.
Sasa hao hawaangalii miruzi wanaangalia maslahi! Kama unaye means unammudu basi mweke kati😃Kama anaeleweka! Dizaini mamanzi wengi wakali wana mindset mbovu!
Mke ni mindset, awe anaweza kuambiwa kwa masikio yote matatu, akaelewa. Sasa pisi kali miruzi waga mingi, masikio yao pamoja la la chini, linapata miruzi mingi. 😁
Oa kijana acha ubishi 😎nikifikisha miaka 90 nitakuja kujibu
Si ndio😅Eeh achukue ShesRise_1, chuch* msumari, saa sita.
She’s rise ashavuka teenage bwana! Wee mimi mshangazi mjanja tu! Nimekusumbua wapi?Nishavuka huko kitambo😅Kweli kabisa, kana miaka 19 haka kabinti. Hata huyu seran bado mbichi, ila msumbufu tu.