Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,846
- 100,030
Nitajuta kwamba?Sio ukiwa mke 😂 utajuta
Hahahah ugomvi sio mzuri ni bora kujishusha mkuu☺️Yaap we angalia watu wanaogombana humu Jf kama baada ya hapo wanaheshimiana ila live lazma mpeane mipaka ya kweli 😂😂😂