mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Alitakiwa kulipwa almost 1bil siku Tra wamemuita kumalizana nae waka offer kumpa kwny mil 200 huko jamaa akakataa.Nakumbuka ilifikia hatua ya mwisho kulipwa, ghafla habari zake zikawa kimya.
Alitakiwa kulipwa almost 1bil siku Tra wamemuita kumalizana nae waka offer kumpa kwny mil 200 huko jamaa akakataa.Nakumbuka ilifikia hatua ya mwisho kulipwa, ghafla habari zake zikawa kimya.
Ubishi tu, angewapa hiyo million mbili angeokoa billion yake.TRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Maana pesa walizo dhulumiwa ni karibu Mil 980.. karibu Billion 1. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama. Hiyo yote kisa jamaa alikataa kuwapa TRA rushwa ya Mil 2
Hawaujui?kivipi wkt jamaa ameshaelezea kila kitu anachofanyiwa na video zake zina muda wa kutosha tu hewani hao viongozi hawajaziona tu?Kuna mchezo anachezewa,viongozi wa juu wa nchi hawaujuwi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Na wanasemaga wao ni watetezi wa wanaoonewa sio?Huyu jamaa ni wa kitambo na sijui mambo yake yanaendeleaje.
Jamaa anadai karibu bilioni moja sasa kwa awamu hii ni nani aingie hazina achote bilioni moja ampe?...yaani ni bora ibaki hivyo kwamba maagizo ya Wakubwa hayajatekelezwa kuliko hiyo pesa itoke.
Sasa kama rais mwenyewe ameagiza jombaa alipwe mpunga wake na amepuuzwa huko mahakamani jomba ataenda kufanya nini?Kwa nini Ntunzwe asiende mahakamani
Hapa Ars kuna Kampuni kama mbili za maua wawekezaji wamekimbia kodi za kubambikwa!!Kuna unyama kwa wafanyabiashara nchi nzima
Hakuna mtetezi wa wanyonge kutoka CCM hayo ni mambo ya majukwaani, mioyoni mwao ni ma-iblis wakubwa...oooh mtetezi wa wanyonge blah blah tu na upuuzi mwingi sijui tuimeibiwa wakati waliofanya nchi kuibiwa unawajua unashindwa kuwachukulia hatua ..CCM hakuna sharifu hata mmoja wote muumiani tu....Mungu anasema tusichukiane lakini CCM nisiwe mnafiq huwa siwapendi sana..miaka 59 wanashindwa kutatua kero ya maji kweli?Na wanasemaga wao ni watetezi wa wanaoonewa sio?
mtetezi wa wanyonge katu asomeshi namba watu wake wala kujipendelea kwaoHakuna mtetezi wa wanyonge kutoka CCM hayo ni mambo ya majukwaani, mioyoni mwao ni ma-iblis wakubwa...oooh mtetezi wa wanyonge blah blah tu na upuuzi mwingi sijui tuimeibiwa wakati waliofanya nchi kuibiwa unawajua unashindwa kuwachukulia hatua ..CCM hakuna sharifu hata mmoja wote muumiani tu....Mungu anasema tusichukiane lakini CCM nisiwe mnafiq huwa siwapendi sana..miaka 59 wanashindwa kutatua kero ya maji kweli?
You are running out of ideas
Kesi iliyofika kwa Rais, Waziri Mkuu, Mambo Sasa, Paul Makonda ma bado watu wakadnda kulipa fidia yake. Inamaana nchi hii kuna watu wemhine wababe kuliko Rais Mh John Pombe Magufuli??Hii case ya bwana Ramadhani hamisi Imeniuma maana na mim ni mojawapo wa mhanga ukiwa unatenda haki na kufika wakati kudai system ya mfumo utasumbuka sana
Nampa Pole Ramadhani mimi nilidai mpaka nikamwachia Mungu
Watu wengi wanalipa kodi za kubambikiza lakini zinaensa mifukoni mwa maafisa TRAHivi hawa usalama wa taifa kazi zao ni nini? Kwanini wanaruhusu uchafu kama huu kufanyika katika chombo muhimu kama TRA?
Huyu mzee apewe ulinzi. TRA is a MOB within the government. Kuna cases nyingi sana za wao kunyang'anya watu mali zao