Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,735
Hajawahi kualikwa kisutu kufuatilia kesi ya aliyekuwa makamu wake ?Kaalikwa
Hajawahi kualikwa kisutu kufuatilia kesi ya aliyekuwa makamu wake ?Kaalikwa
Msumari umeingia kwenye mshono!We mbwa koko tapeli ni mamako aliyekudanganya babako halisi. Mbowe hawezi kuhudhuria kesi ya mhaini, kibaraka la wazungu
Asingeweza kwenda bila kualikwa ndio sababu Slow Slow kaahirisha show yake hadi kesho ili Leo ajadiliwe MwambaKaalikwa
Hv maudenda hajawahi kula kitumbua cha korosho pale nyumba nyeupe?Anajulìkana huyu mzee wa chai za ikulu kama lipumba tu
Kila la kheri kwake
Mbowe si mwanaharakati,ni mwanasiasa.Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Kwa hiyo ulitakaje? Wakati Mbowe yupo rumande kesi ya Ugaidi nani alipambana naye?Mapendano ya Mbowe na Mama hayo.
Mwenyekiti wa chama chako yupo ndani kwa kesi ya uhaini wewe unaenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa, sawasawa.
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
sasa hapo ameenda akiwa kama naniMwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
sikujua mbowe kuwa ni fwala kiasi hikiHuyo ni brothermen wa Taifa
Jamaa ana hasira ya kushindwa umwenyekiti sana, 😅😅 Dira ya Maendeleo yupo, mahakamani kwa Lissu haendi, anafanya vizuri sana kujionesha rangi yake halisiMwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
ni tapeli tu kama matapeli wengineKuhudhuria kesi ya M/kiti wake mahakamani nongwa kuhudhuria Dira ya utapeli fresh.
Mbowe si CDM .
Nani kamwalika?Itakuwa alipata mwaliko
Kwanini haendi kwnye kesi ya Lisu?Hii nayo ni hbr? Nikifikiri tembo kaingia ukumbini. Mbowe ni mzalendo halisi ile ni dira ya Taifa, ni ya kila mtanzania, Mbowe ni mtanzania we umeona kt gani cha ajabu, Anaitwa Freeman kuenzi uhuru alizaliwa mwaka na mwezi nchi yetu ilipopata uhuru, babake mzee Aikaeli Mbowe ni miongoni mwa wazee waliokuwa wakimchangia baba wa Taifa kufuatilia uhuru wa nchi yetu kule Newyork. Mbowe si km hao vibaraka wanaowaabudu wazungu waliofukuzwa na mababu zetu wazalendo.
Mapendano ya Mbowe na Mama hayo.
Mwenyekiti wa chama chako yupo ndani kwa kesi ya uhaini wewe unaenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa, sawasawa.
Kama UTEKAJI ni tukio la Kitaifa 🤔🤔Ni tukio la kitaifa.