Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050
Sio mstaafu mwenyekiti aliepigwa chinii
hapa nakumbuka lowassa ni mstaafu au aliyejiuzulu -- -- nikafatilia huko nje nikaona kwamba wanakua na muongozo mfano UK kila anayekuwa PM akimaliza au akipigwa chini kwa mfumo rasmi bado anatambulika "mstaafu" unless atimuliwe kwa kashfa .


hapa kwetu sjajua muongozo unasemaje
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
​
Ni mmojawapo wa watu waliochangia sana maoni kuwa dira ya Taifa iweje akiwa kiongozi Chadema

Wananchi wote waliombwa kutoa maoni naye akatoa mengi ambayo yamo kwenye hiyo dira
 
Huyu hajawahi kuwa mpinzani ni mnafiki mkubwa so sad to learn alikua anadanganya watu wengine wakiamini kabisa kumbe tapeli!!!Lissu anasota jela huyu hajawahi kukanyanga pale mahakamani!! ila muda wa kwenda Dodoma anao!! ila waangalie wenzie wote akina Mrema na Lipumba mwisho wao ni aibu kubwa huyu nae hakuna mtu anamheshimu kabisa...
 
Kisutu haujawahi kukanyaga ila Leo hafla zenye mlengo wa Kichama yupo, Ousted him was the best move ever chadema mlifanya
 
Wenye Akili tunajua alishafika Bei huko alikohudhuria Kitambo sana na muda wowote anatambulishwa na kupitishwa mahala kugombea Ubunge hivyo acha kutupotezea muda tafadhali.
No; huyu anaweka ulinzi wa biashara zake, zilizovurugwa kitambo.
 
No; huyu anaweka ulinzi wa biashara zake, zilizovurugwa kitambo.
Viongozi wengi wa upinzani ni wasanii hawana utofauti na chawa, awamu hii viongozi wa upinzani wametulizwa na asali wametulia kimyaaa wanaramba asali, Ngoja aingie Raisi Mwingine awapole bakuli la Asali utaona watavyoanza kubweka tena Zitto, Mbowe sasa ndiyo wana ramba maasali tu.
 
Lissu kaenda jela kwa uzembe wake mwenyewe. Muacheni Mzee Mbowe maisha aliyo yachagua. Lissu amechagua kwenda jela, Mbowe amechagua kuishi maisha yake to the fullest.

Both teams to score
UCHAWA tu kama wenzako kina lucas
 
Back
Top Bottom