Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050
haha soon mtasikia naye anataka aitwe “mzee” mbowe kama yule tapeli mwingine …
 
Mapendano ya Mbowe na Mama hayo.

Mwenyekiti wa chama chako yupo ndani kwa kesi ya uhaini wewe unaenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa, sawasawa.
Kuna kitu hakuna mtu anafanya kitu bila sababu
 
Lissu kaenda jela kwa uzembe wake mwenyewe. Muacheni Mzee Mbowe maisha aliyo yachagua. Lissu amechagua kwenda jela, Mbowe amechagua kuishi maisha yake to the fullest.

Both teams to score
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
​
Hii nayo ni hbr? Nikifikiri tembo kaingia ukumbini. Mbowe ni mzalendo halisi ile ni dira ya Taifa, ni ya kila mtanzania, Mbowe ni mtanzania we umeona kt gani cha ajabu, Anaitwa Freeman kuenzi uhuru alizaliwa mwaka na mwezi nchi yetu ilipopata uhuru, babake mzee Aikaeli Mbowe ni miongoni mwa wazee waliokuwa wakimchangia baba wa Taifa kufuatilia uhuru wa nchi yetu kule Newyork. Mbowe si km hao vibaraka wanaowaabudu wazungu waliofukuzwa na mababu zetu wazalendo.
 
Kuhudhuria kesi ya M/kiti wake mahakamani nongwa kuhudhuria Dira ya utapeli fresh.

Mbowe si CDM .
We mbwa koko tapeli ni mamako aliyekudanganya babako halisi. Mbowe hawezi kuhudhuria kesi ya mhaini, kibaraka la wazungu
 
Kuhudhuria kesi ya M/kiti wake mahakamani nongwa kuhudhuria Dira ya utapeli fresh.

Mbowe si CDM .
Huyu mzee wa kalikiti ni mpigaji kitambo tu..mlikuwa mnaamini huyu bwashee ni mpinzani wa kweli?....
Mmeliwa....
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
​
RIWAYA;HARAKATI ZA MBOWE MRAMBA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI...
Mbowe awezi kuachia kibuyu cha asali hata kama kina damu au kimetumbukia chooni 😁
 
Back
Top Bottom