Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.
Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata...
Huyu akibanwa vizuri atatoa hadi kadi yake ya CCM.
================================
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na kumpa pole Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba leo Jumanne Machi 25, 2025 kwa kufiwa na mkwe wake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.