Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 976
- 1,952
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Sawasawa!Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana akiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, kushuhudia uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 20250.Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Lakini posho lazima.Ni tukio la kitaifa.
Dah! sikujua, kumbe kushindwa Uchaguzi kunauma sana hadi mtu unasaliti principles zako za miaka zaidi ya 20.Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Huyu kafurushwa uenyekiti hajastaafu! Subiri Lissu anyongwe atakimbilia kuchukua uenyekiti wake haraka.Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Wanaenda kujadili jinsi ya kufungua saccos mpya au jinsi ya kuiburuga walioianzisha.Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Wenye Akili tunajua alishafika Bei huko alikohudhuria Kitambo sana na muda wowote anatambulishwa na kupitishwa mahala kugombea Ubunge hivyo acha kutupotezea muda tafadhali.Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.