Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Attachments

  • 1408446590522.jpg
    1408446590522.jpg
    75.3 KB · Views: 188
Hiyo picha ya Kitenge kama isingekuwa na maelezo mimi ningejuwa anasaini fomu za kuichezea Yanga.

Hata huko BBC sijaona ulimbukeni huu wa kusaini mkataba wa kazi mbele ya media, haya mambo yanawahusu wacheza mpira tu ili kudraw attention ya mashabiki.

Hivi hiyo redio frequence zake ni ngapi maana nasikia makele yake tu sijawahiwhata kuisikiliza.

Mkuu naona umeumia sana Kitenge kuhama kituo cha kazi na kufuata masrahi makubwa.
 
Kitenge huwa anahongwa hajui kuhudumia mwanamke kwa kumpa fedha. na hao wake zake wana mkwanja mnene sana. Yuko kijasiriamali zaidi kwa watoto wa kike

Jamani mtamuua mwenzenu kwa presha bure ... nadhani leo nimeona jinsi watu wanavyomfahamu kitenge zaidi ya yeye anavyojijua. ahahaaa... malimwengu.
 
Wenzake walitangaza kwa hali ngumu iliyokuwepo na wakafanikiwa now wako bbc, voa, na kungineko,, kikeke, chaz hilari, nk. Yeye alioa wake kadhaa, angetoka kweli utaendaje ulaya na wake wote hao?

ha ha ha we mkali. lkn suna ujue
 
Nyinyi ndo mnaishi dunia ya kukariri! kuna sheria ya
uwekaji wa tarehe? ndo maana bongo hakuna maendeleo
nyinyi ndo mmekariri barua za darasa la tano?
hihuhihuhu tarehe hata zikiwekwa mata.koni si inshu
inshu je zitaonekana na msomaji? wengine huweka chini
ya saini kabisa! msiwe limited kishamba jaribuni na
kugoogle


The matter behind ni kwamba yeye ni mwandishi wa habari. We wa wapi? Rekebisha jina lako, si jema.
 
Kwa taarifa nilizopata kwa kupitia masafa ya Ungo ni kwamba.
Maulidi Baraka wa Kitenge anafanya kama ya Juma Nkamia.
Yaani alitoka utanganzaji akasepa ungune leo Waziri.
Sasa Maulidi Kitenge anatarajia kugombea Ubunge,sasa ameamua kutoka mapema ili ajipange.
Atakuwa mgombea wa chama cha wakulima TPP
Mkuu hiyo ni inchi gani?
 
Hiyo picha ya Kitenge kama isingekuwa na maelezo mimi ningejuwa anasaini fomu za kuichezea Yanga.

Hata huko BBC sijaona ulimbukeni huu wa kusaini mkataba wa kazi mbele ya media, haya mambo yanawahusu wacheza mpira tu ili kudraw attention ya mashabiki.

Hivi hiyo redio frequence zake ni ngapi maana nasikia makele yake tu sijawahiwhata kuisikiliza.

Mkuu Matola hii radio sijui frequence zake maana inaishia dar!
Yani mtu anataka mshahara mkubwa utafikiri alilazimishwa kusign mkataba wa mshahara anao ona mdogo!

Hivi kwanini watanzania hatupendi kuondoka sehemu kwa Amani? Hivi hiyo 14years alikuwa amefungwa kamba? Na mshahara gani unatosha? Na kwa elimu gani? Kwa aina gani ya familia?
Mbona Salama na Millard Ayo waliondoka kimya bila matangazo na bila kuchafuana?

Hivi kitenge alitegemea kutajirika kupitia kuajiriwa?
 
Last edited by a moderator:
Nikiangalia huyu mtangazaji anavyo andika naishia kucheka tuu!
Kuna mambo najiuliza kwanini ameamua kutangaza ameondoka? kulikuwa kuna ulazima wa kusema hayo yote?

Ni wazi MTU akisoma alivyo andika atajua fika huyu mtu analengo Fulani na anataka watu wamuone mwajiri wake mbaya au kumuaribia biashara.

Pamoja na umahiri wa kitenge kwenye utangazaji wa habari za michezo kwa sisi wasikilizaji wa radio one na watazamaji wa ITV bado kumebaki watangazaji wazuri kama Amri masali,Katanga hi yo sikweli patapwaya!

Hivi kumbe busara aliyonayo Millard Ayo imewashinda wengi kiasi hiki? Hivi ukiondoka kimya kama ulivyo ajiriwa kimya kuna kosa? IPP media naona ndio kiwanda cha kuzalisha watangazaji Tanzania na ni ngumu kuwalipa kila mtu kulingana na matakwa yake!

Hivi kuondoka kwa matangazo ni busara?hadi Leo pamoja na Allan laki,Adrian stepp kuondoka kwa kuutangazia umma sikuwai kuona mapengo yao mpaka Leo, kuondoka kwa matangazo mengi kunachukuliwa kama njia ya kutaka kuharibu.

umeandika kiswahili ama kihaya?
 
Na wewe tulia sasa upewe darasa, hakuna tafsiri ya kingereza kuja kwenye kiswahili yenye maneno kuacha kazi.

Kwa kingereza sahihi na kupata tafsiri sahihi ya kiswahili basi madeiwaka watumie neno Terminate = kusitisha pale wanapoandika barua za kuacha kazi.
Ngoja twende kwenye kiingereza unachokitaka. Kwa kizungu angetumia neno 'terminate' siyo 'resign'. Elewa kwamba kwenye utumishi kuna cheo cha 'muundo' na cheo cha 'madaraka'.
 
Kumbe katimkia E FM dooh homa ya jiji ila kusema ukweli hizi radio zinazoishia magomeni zinaua fame zao ambazo nazo kwa kiasi zingewasaidia au zina wasaidia katika kuongeza kipato.

Sijui kwanini watanzania hatupendi kuondoka sehemu kwa amani na bila kurusha mane no? Hivi ninani aliyemlazimisha kusign mkataba name IPP miaka yote hiyo?
Hivi kwanini tusiondoke kimya kama tulivyo ajiriwa kimya?kwanini tusishukuru? Kwakweli haya matangazo ni kukosa busara kabisa.

Si alisema anakwenda kujiajiri? Mbona Millard na Salama waliacha bila maneno? Kwani alilazimishwa kuendelea na ITV miaka yote hiyo?
Hivi ni mshahara gani utamtosha kwa hao wake wote+watoto?
 
umeandika kiswahili ama kihaya?

we mwanao sijui kama anafundishika vitu vingine sio lazima ushike fimbo

unamwelekeza anchotaiafya ndio maana wanaiga makofiukubwani
 
Back
Top Bottom